MIAKA ya 2000, mwanaume mmoja aliibuka akiwa na timu ya mkoani na kuzipasua kichwa timu mbili kongwe za Simba na Yanga na akafanikiwa kutwaa kombe
Category: Michezo
VIJANA wa Morogoro hivi sasa wamezikamata Simba na Yanga kutokana na viwango bora wanavyovionyesha katika vikosi vya timu hizo ambavyo vimewawezesha kupata namba vikosini. Katika
MSIMU uliopita nyota wawili wanaocheza nafasi ya kiungo, Feisal Salum na Stephane Aziz Ki ndio walishindana katika kuwania ufungaji bora wa Ligi Kuu. Mshindi wa
Shirikisho la Soka Afrika (CAF), limeishushia rungu klabu ya CS Sfaxien ya Tunisia ikiitoza faini na kuzuia mashabiki wa timu hiyo katika mechi mbili za
Shirikisho la Soka Afrika (CAF), limeishushia rungu klabu ya CS Sfaxien ya Tunisia ikiitoza faini na kuzuia mashabiki wa timu hiyo katika mechi mbili za
MABOSI wa Namungo, umefikia makubaliano ya kuachana na aliyewahi kuwa beki wa Yanga, Djuma Shaban akiungana na nyota wengine watatu. Djuma aliyeitumikia Yanga kwa mafanikio
MSHAMBULIAJI wa Singida Black Stars, Elvis Rupia amesema licha ya kuongoza katika mbio za ufungaji bora wa Ligi Kuu Bara akiwa na mabao manane, lakini
SIKU chache baada ya Mwanaspoti kuweka bayana kwamba straika wa Yanga, Mkongomani Jean Baleke amekalia kuti kavu katika kikosi hicho, sasa imethibitishwa kwamba ndoa ya
KAMA kuna kitu ambacho kinafanywa na Simba katika Ligi Kuu Bara, basi ni mateso makubwa kwa timu pinzania inazokutana nazo, ikiwa imeshafumania nyavu za timu
Mashabiki wa Simba kwa sasa wanatembea vifua mbele kutokana na aina ya kikosi walicho nacho, huku wakiongoza msimamo wa Ligi Kuu Bara kwa pointi 37.