MSHAMBULIAJI wa Yanga, Joseph Guede amezungumzia mambo manne yaliyomrejesha kwenye fomu haraka, huku akiweka wazi mipango yake msimu ujao. Guede aliyetua Jangwani katika dirisha dogo
Category: Michezo
Kiungo wa Simba, Saido Ntibazonkiza ameendelea kuwa lulu katika kikosi cha timu ya taifa ya Burundi baada ya kujumuishwa katika kundi la wachezaji 21 watakaotumika
STRAIKA Suleiman Mwalim Abdallah wa KVZ ameonyesha dhamira ya kubeba kiatu cha dhahabu cha Mfungaji Bora wa Ligi Kuu Zanzibar (ZPL) kwa msimu huu, baada
BEKI wa Yanga, Joyce Lomalisa amesema ujio wa Pacome Zouzoua, Attohoula Yao umechangia kwa kiasi kikubwa timu yao kutwaa taji la tatu mfululizo ambalo ni
Rudi nyuma hadi Januari 12, 2022, wakati wa mashindano ya AFCON 2021, mchezo wa hatua ya makundi kati ya Tunisia na Mali. Mwamuzi kutoka Zambia,
Wakati Mtibwa Sugar ikiwa mkiani mwa msimamo wa Ligi Kuu Bara baada ya kucheza michezo 27 na kukusanya jumla ya pointi 20, ila inashika nafasi
BAO la Ibrahim Elias dakika ya 20 akimalizia vizuri pasi ya Wazir Junior, limetosha kuipa ushindi KMC wa 1-0 dhidi ya Singida Fountain Gate katika
Kikosi cha Yanga kinatazamiwa kusafiri kwa ndege kesho Ijumaa kutoka Dar es Salaam kuelekea jijini Arusha kwa ajili ya mchezo wa nusu fainali ya pili
AZAM FC iko mbioni kuachana na Kocha wa Fiziki na Mtaalamu wa tiba za Wanamichezo (physiotherapist), Mreno Joao Rodrigues baada ya msimu huu kuisha huku
KIUNGO mkabaji wa Yanga, Khalid Aucho amezungumzia jinsi majeraha yalivyompunguzia kasi ya kupambana msimu huu (2023/24), hata hivyo kilichompa faraja ni timu hiyo kunyakua taji