MABOSI wa TP Mazembe wakiongozwa na CEO, Frederic Kitengie wiki hii wametua Makao Makuu ya Yanga yaliyopo Jangwani jijini Dar es Salaam kwa masuala mawili
Category: Michezo
KATI ya sapraizi ambazo mashabiki wa Simba wanaweza kukumbana nazo wiki chache zijazo ni kung’oka kwa wakongwe wa kikosi hicho akiwemo Shomari Kapombe ambaye piga
UNAJUA kwanini aliyekuwa mwenyekiti wa zamani wa Simba, Hassan Dalali aliitwa Field Marshal? Ni jina la utani alilopachikwa na Wanasimba lakini kumbe lilibeba maana ya
WAKATI wadau na mashabiki wakijiuliza kasi ya straika wa Tanzania Prisons, Samson Mbangula kupungua, mwenyewe amesema naye anashangaa kwanini hafungi tangu alipoifunga Simba. Mbangula alikuwa
WATANZANIA wanaochezea soka Ligi Kuu ya DR Congo, mshambuliaji George Mpole (FC Lupopo) na beki Abdallah Shaibu ‘Ninja’ (Lubumbashi Sport), wamezungumzia namna kazi ilivyo ngumu
UWEZO wa kupiga mashuti ya mbali, anaoonyesha winga wa Simba, Edwin Balua, nyuma ya pazia anafanya zoezi la kupiga mipira nje ya 18 ya uwanja
MKURUGENZI wa Halmashauri ya Mji wa Geita, Yefred Myenzi amesema timu hiyo kutofanya vizuri kwenye Ligi Kuu na kuwaweka kwenye presha ni kutokana na usajili
MCHEZO wa soka ni wa kitimu lakini hilo halipaswi kuwa kigezo cha mchezaji binafsi kubweteka au kusubiria kupata nafasi kwa huruma. Yaani sio kwa sababu
HUU unaweza kuwa msimu mzuri wa soka kwa refa wa Tanzania mwenye beji ya Shirikisho la Soka Duniani (Fifa), Ahmed Arajiga kutokana na uzito wa
BAADA ya kutoka sare ya bila kufungana na Coastal Union, haraka nikakimbilia msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara ili nione Geita Gold iko nafasi ya