KOCHA wa zamani wa Yanga, Nasreddine Nabi ametoa tahadhari kwa timu zingine Ligi Kuu Bara kutokana na moto ilionao Yanga akisema kama hazitakaza, basi ubingwa
Category: Michezo
WIZARA ya Utamaduni, Sanaa na Michezo kupitia Baraza la Michezo la Taifa (BMT), limeandaa tuzo za wanamichezo bora mwaka 2023 zinazotarajiwa kufanyika Juni 9, 2024
LIGI Kuu Bara inakwenda ukingoni huku ikibaki kati ya michezo mitatu hadi minne kwa baadhi ya timu ili kumaliza msimu huu, lakini mbali na bingwa
HAKUNA ubishi juu ya kiwango bora kilichoonyeshwa na Yanga msimu huu na kufanikiwa kutetea ubingwa wa Ligi Kuu ambao umechagizwa na wachezaji mbalimbali katika kikosi
KOCHA Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi amesema walistahili kutwaa taji la Ligi Kuu, huku akisisitiza kwamba kituo kinachofuata ni Kombe la Shirikisho la Azam (ASFC). Yanga
KILICHOBAKI kwa Yanga ni sherehe tu za ubingwa wa Ligi Kuu Bara ambao imeutwaa Mei 13 baada ya kuifunga Mtibwa Sugar mabao 3-1, huku pia
ACHANA na Simba kukosa ubingwa kwa mara ya tatu mfululizo kuanzia msimu wa 2021/22, 2022/23 na msimu huu, lakini wana Msimbazi wamepitia nyakati ngumu zaidi
DODOMA Jiji FC, imetoka suluhu na Namungo FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC uliochezwa Uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma. Mchezo huo ulizikutanisha timu
MAAFANDE wa KVZ na KMKM zimeaga michuano ya Kombe la Shirikisho Zanzibar (FA) baada kushindwa kufurukuta katika mechi za robo fainali ya michuano hiyo. KVZ
BAADA ya Yanga kutwaa taji la 30 la Ligi Kuu Bara, vita imebaki kwa mshindi wa pili kati ya Simba na Azam, lakini wakati hilo