KAMA ilivyo kwa Mabingwa Ligi Kuu Bara, Yanga wamekuwa na bahati kwenye Uwanja wa Azam Complex, Chamazi ndivyo ilivyo kwa Simba Queens na mechi nane
Category: Michezo
JUZI pale Uwanja wa Azam Complex, Chamazi ilikuwa imebaki kidogo watu waone Kocha wa Yanga, Miguel Gamondi akimchapa vibao refa Abdallah Mwinyimkuu. Ilikuwa ni baada
MWAKA 2020, Coastal Union ilipata fedha nyingi kupitia mauzo ya beki Bakari Mwamnyeto ambayo inakadiriwa kufikia takribani Sh 150 milioni. Coastal ilivuna fedha hizo nyingi
WEKUNDU wa Msimbazi, Simba SC wameendeleza moto wao wakiwa chini ya Kaimu Kocha Mkuu, Juma Mgunda kufuatia kuibuka na ushindi wa tatu mfululizo katika mchezo
Kocha Mkuu wa Al Hilal ya Sudan, Florent Ibenge amesema itakuwa ni heshima kwake endapo atapata nafasi ya kuinoa timu mojawapo za Ligi Kuu Tanzania
MOJA ya eneo ambalo Yanga itaingiza ingizo jipya msimu ujao ni katika nafasi ya kipa na hesabu zao zimeenda kwa kipa namba moja wa timu
MSIMU huu wa 2023/24, hakuna mbabe kati ya Ihefu SC na JKT Tanzania baada ya timu hizo kushindwa kufungana katika mchezo wa Ligi Kuu Bara
HAIJAISHA hadi iishe ndiyo kauli wanayoishi nayo timu ya Mtibwa Sugar huku matumaini yao makubwa yakiwa ni kwamba msimu ujao wataendelea tena kukiwasha Ligi Kuu
Serikali kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii imedhamiria kutatua changamoto ya migongano baina ya binadamu na wanyamapori huku ikisisitiza kuwa katika bajeti ya mwaka wa
BEKI kisiki wa Yanga, Ibrahim Abdullah ‘Bacca’ amesema mama yake ambaye ni shabiki mkubwa wa Simba, anavutiwa na aina ya uchezaji wa beki wa kati