KWA hali ilivyo kuna uwezekano Kibu Denis akasalia Simba msimu ujao baada ya viongozi kufanikiwa kumshawishi yeye na wakala wake kwa asilimia kubwa. Mwanaspoti ndilo
Category: Michezo
Beki wa Yanga, Dickson Job amesema wamekuwa wakionyesha hali ya kupambana zaidi pindi wanapokutana na timu inayozuia muda mwingi tofauti na wale wanaofunguka. Nyota huyo
USHINDI wa bao 1-0 ambao Yanga iliupata juzi Jumatano dhidi ya Kagera Sugar kwenye Uwanja wa Azam Complex Chamazi, ulikifanya kikosi hicho cha Miguel Gamondi
TANGU Tanzania inapata huru, bondia Fadhili Majiha maarufu zaidi kama Kiepe Nyani amekuwa Mtanzania na bondia wa kwanza kufikisha hadhi ya nyota nne na nusu
Imebaki historia. Ndivyo unavyoweza kusema kuelezea maisha yanavyokwenda kasi hasa kwa timu zilizokuwa chini ya wanachama ambazo zilitisha miaka ya nyuma na sasa imebaki stori.
Yanga wana msemo wao mmoja maridadi sana ‘Daima Mbele Nyuma Mwiko’, yaani hawana nafasi ya kujuta na wako tayari kuchukua maamuzi yoyote magumu na baada
MORICE Chukwu ni majina ambayo yalitikisa wakati wa dirisha dogo la usajili akihusishwa na timu mbalimbali nchini ikiwemo Yanga lakini baadae akaibukia Singida Big Stars
LICHA ya nidhamu bora ya uzuiaji kwa Kagera Sugar ila imeshindwa kuizuia Yanga hadi dakika za mwisho baada ya kufungwa bao 1-0, katika mchezo wa
MASHUJAA FC wamefanikiwa kulipa kisasi mbele ya KMC FC baada ya leo kuibuka na ushindi wa mabao 3-0 katika mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa
DILI LIMEKAMILIKA: Ndivyo ilivyo baada ya klabu ya Simba kumsajili beki wa kati wa Coastal Union, Lameck Lawi kwa mkataba wa miaka miwili kwa ajili