AZAM FC hawatanii buana! hivyo ndio unaweza kusema baada ya uongozi wa timu hiyo kuamua kutoa motosha wa mastaa wao kupambana kumaliza nafasi ya pili
Category: Michezo
Kikosi cha Timu ya Tabora United kesho kitashuka katika Uwanja wa Manungu Turiani mkoani Morogoro kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Soka
Huenda Kibu Dennis ndiye mchezaji Bora msimu huu mzawa wa Simba na ambaye akikosekana, watu wanashika kichwa. Kibu ni aina ya wachezaji ambao kumwelekezea mtu,
Refa Beida Dahane ameteuliwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika kusimamia teknolojia ya video ya usaidizi kwa marefa (VAR) katika mechi ya kwanza ya
JINA la kocha wa Al Hilal, Florent Ibenge (62) linatajwa kupewa kipaumbele cha kwanza na mabosi wa Simba kumrithi Abdelhak Benchikha aliyeondoka mwishoni mwa mwezi
ATALANTA, MAREKANI: Wote tushasikia msemo wa kwamba “Kila kwenye mwanaume mwenye mafanikio, nyuma yake kuna mwanamke.” Msemo huo unaweza kusiikia kwenye mambo ya kisiasa na
WAKATI Yanga ikibakiza hatua chache kumalizana na beki wa kushoto wa FC Lupopo, Chadrack Boka, Raul Shungu amewaambia ; “Ni bonge ya beki.” Kocha huyo
KAMA kuna wachezaji waliokuwa wanaangaliwa sana uwanjani kama watatoka bila ya kadi, mmoja wao ni Haruna Moshi ‘Boban’, kiungo wa zamani wa Simba, Yanga na
WAKATI Simba ikiendelea kupiga hesabu za kumaliza msimu na kuanza usajili mkubwa ikiwemo kumshusha kocha mkuu mpya baada ya Abdelhack Benchikha kuondoka, kuna mibuyu itang’oka
WAKATI vita kati ya Azam FC na Simba ikiendelea kusaka nafasi ya pili katika Ligi Kuu Bara, matajiri wa Dar es Salaam wanaendelea na kusuka