CEASIAA Queens imesema pamoja na ugumu wa Ligi Kuu ya Wanawake, lakini kuifunga Yanga Princess nje na ndani imewapa kujiamini kuhakikisha msimu huu wanamaliza tatu
Category: Michezo
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imefikia uamuzi wa kulipeleka shauri la kesi ya madai inayomkabili bondia Hassan Mwakinyo dhidi ya mdai Kampuni ya PAF Promotion
‘Apewe timu’. Ni kauli ya baadhi ya viongozi wa Simba wakielezea kazi nzuri anayoonyesha Kocha Mkuu wa muda wa timu hiyo, Juma Mgunda wakisema kwa
Achana na vita ya ufungaji bora iliyopo baina ya Feisal Salum ‘Fei Toto’ wa Azam FC na Stephane Aziz Ki wa Yanga, lakini kiungo huyo
Kibarua kigumu ambacho Simba inacho katika kumbakisha nyota wake Kibu Denis anasaini mkataba mpya kinachangiwa na ufanisi wa mchezaji huyo uwanjani licha ya kutokuwa na
Kama ulishtuka kusikia bosi wa Yanga,Hersi Said yupo jijini Lubumbashi nchini DR Congo akifuata mashine mpya, basi sikia na hii namna ambavyo vigogo wa klabu
Simanjiro. Ng’ombe 70 za wafugaji wa kata ya Ruvu Remit iliyopo Wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara, wameliwa na simba ndani ya wiki moja, hivyo wameiomba
LICHA ya uwepo wa kocha Juma Mgunda na msaidizi wake Seleman Matola, beki Mkongomani wa Simba, Henock Inonga ambaye alikuwa kati ya wachezaji wa akiba
BAADA ya mazungumzo ya muda mrefu na klabu yake ya Simba kuhusu kuongeza mkataba mpya sambamba na Yanga kutaka kumsajili kiungo mshambuliaji, Kibu Denis, sasa
BAADA ya mazungumzo ya muda mrefu na klabu yake ya Simba kuhusu kuongeza mkataba mpya sambamba na Yanga kutaka kumsajili kiungo mshambuliaji, Kibu Denis, sasa