MNAHESABU lakini? Ndivyo unavyoweza kusema baada ya Yanga juzi kupata ushindi wa 21 katika michezo 25 iliyochezwa katikaa Ligi Kuu Bara. Yanga ilipata ushindi wa
Category: Michezo
Mwenyekiti wa Klabu ya Coastal Union, Steven Mguto amesema wanatarajia kuanzia Agosti, mwaka huu, wataanza kutumia uwanja wao kwa ajili ya mazoezi, huku akieleza kuwa
BAADA ya kuiongoza kwa mara ya kwanza na kuipa ushindi Singida Fountain Gate, kocha wa timu hiyo, Ngawina Ngawina amesema kwa sasa hesabu ni kuibakiza
Tuzo ya mchezaji bora wa mwezi Aprili ya Ligi Kuu Bara imezua gumzo kwa baadhi ya wadau wa soka nchini kutokana na kuteuliwa Stephane Aziz
Baada ya kumalizika kwa Championship, uongozi wa Mbeya City umekiri kutofikia malengo ukiahidi kujipanga upya kwa ajili ya msimu ujao, huku ishu ya benchi la
Wakati idadi ya makocha wanaoomba kibarua Ken Gold ikizidi kuongezeka, uongozi wa timu hiyo umesema mbali na vigezo vya elimu, unataka kocha mwenye historia ya
Kumekuwa na mabadiliko mengi ya mavazi kwa wacheza soka duniani kote, lakini hili la kutoboa soksi nyuma linaonekana kuwashangaza mashabiki wengi. Hivi karibuni umezuka mtindo
LIGI Kuu Bara inaendelea tena leo Jumatatu kwa timu nane kusaka pointi tatu na michezo minne itapigwa viwanja mbalimbali. Mchezo wa mapema saa 8:00 mchana
BONDIA Mandonga ambaye jina lake halisi ni Karim Said, amefanya mahojiano maalum na Mwanaspoti na baada ya jana kueleza mambo mengi kuanzia ajira yake ya
SHANGWE la ubingwa wa Ligi Kuu Bara kwa Yanga msimu huu linaendelea kukaribia baada ya ushindi ilioupata wa bao 1-0 dhidi ya Mashujaa katika mchezo