WAKATI mabadiliko ya kikosi cha Simba katika michezo miwili iliyopita ya ligi yakianza kuwavutia baadhi ya wadau na mashabiki wa timu hiyo, kaimu kocha mkuu
Category: Michezo
WAKATI za chini ya kapeti zikielezwa nyota wa Simba, Kibu Denis ana asilimia kubwa ya kusaini Yanga kwa ajili ya msimu ujao baada ya mkataba
Kocha Mkuu wa Tanzania Prisons, Ahmad Ally ameanza kuonja joto la jiwe kufuatia matokeo yasiyoridhisha anayoendelea kupata na kumuweka katika wakati mgumu. Ally ambaye alitua
KIUNGO Mshambuliaji wa Yanga, Stephane Aziz Ki ameteuliwa kuwa Mchezaji Bora wa Mwezi Aprili wa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu wa 2023/2024, huku kocha wake,
Kuna kijana amekuwa akipigania falsafa ya uchumi wa soka (football economy), lakini amegeuka kuwa kichekesho kwa ‘watu wa mpira’ ambao hupenda zaidi watu wanaozungumza vitu
KUNA watu wamegundua fursa zilizopo kwenye mchezo wa gofu na wameamua kupiga pesa, kutokana na mishe mbalimbali wanazozifanya, jambo kubwa lililowafanikisha hayo ni uthubutu na
SIJUI kama tutajua tufuate lipi katika soka la kisasa. Takwimu au macho yetu? Tangu tuanze kushika kompyuta zetu soka limeanza kutuchanganya. Tuamini katika lipi kati
KIWANGO alichokionyesha kipa wa kimataifa wa Azam FC, Msudan Mohamed Mustafa, kimewashawishi viongozi wa klabu hiyo kuanza mchakato wa kukaa naye mezani kwa ajili ya
SINEMA inayoendelea ya mshambuliaji wa Simba, Kibu Denis kudaiwa kugoma kuongeza mkataba mpya ndani ya kikosi hicho inatoa picha jinsi shughuli inavyoweza kuwa pevu kwa
Yanga inashuka katika mchezo wa leo kusaka pointi tatu ili kuendelea kuusogelea ubigwa wa Ligi Kuu Bara wakati Mashujaa wao wanatafuta ushindi wa kujikwamua kurudi