MEI 12, mwaka huu bondia wa ngumi za kulipwa nchini na mpiga debe wa zamani wa Kituo cha Mabasi Msamvu mjini Morogoro, Karim Mandonga ‘Mtu
Category: Michezo
MABINGWA na washindi wa America’s Got Talent 2024 (AGT), Ramadhani Brothers, wamefanikiwa kufika leo Jumamosi, Mei 4,2024 katika kilele cha Mlima Kilimanjaro wakiwa na tuzo,
Mchezo kati ya KMC dhidi ya Kagera Sugar umemalizika Uwanja wa Azam Complex timu hizo zikiwa hazijafungana, Licha ya mashambulizi makali ya timu zote bado
Waziri wa Sanaa Utamaduni na Michezo, Dk Damas Ndumbaro amesema kuelekea mashindano ya Afcon 2027, ambayo yanatarajiwa kufanyika kwa ushirikiano wa nchi tatu za Tanzania,
Waziri wa Sanaa Utamaduni na Michezo, Dk Damas Ndumbaro amesema kuelekea mashindano ya Afcon 2027, ambayo yanatarajiwa kufanyika kwa ushirikiano wa nchi tatu za Tanzania,
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Said Shaibu Mussa leo tarehe 03 Mei 2024 amewaongoza Watumishi wa
Mwanza. Baada ya kuwa na matokeo mabaya kwenye Uwanja wa CCM Kirumba jijini hapa hatimaye leo wenyeji Singida Fountain Gate wamepata ushindi muhimu huku mshambuliaji
Unaweza kusema ndani ya Simba eneo la beki wa kati mwenye namba yake yupo njiani kutua kikosini hapo baada ya klabu hiyo kufikia dau linalotakiwa
KILA msimu Clatous Chama ni mchezaji anayesajiliwa na Yanga lakini daima anachezea Simba. Huu ni msemo maarufu kila linapokaribia dirisha la usajili na wakati huu
MLETE MGUNDA. Ni kauli maarufu zaidi kwa wapenzi wa Simba pale mambo yanapokuwa magumu kwao. Kwanini? Subiri nitakwambia. Hapa majuzi aliyekuwa kocha wa Simba, Abdelhak