HATIMAYE kiungo wa Yanga Pacome Zouzoua Leo anarudi uwanjani kwa mara ya kwanza tangu kuumia na kuzusha taharuki kubwa. Kwenye kikosi cha Yanga kitakachocheza mchezo
Category: Michezo
SAKATA la kipa namba moja wa Singida Fountain Gate, Beno Kakolanya limechukua sura mpya ikiwa ni siku chache tangu nyota huyo wa zamani wa Tanzania
KOCHA wa Yanga Miguel Gamondi, amevunja ukimya kwa kusema namna anavyoshangazwa na maisha ya mastaa wa timu hiyo kambini kwa muda wa mwaka mmoja aliokaa
UKIACHA mapenzi yake ndani ya klabu ya Yanga kama kuna jambo ambalo lilimtambulisha kwa ukubwa Antony Mavunde ndani ya klabu hiyo basi ni ile siku
WAKATI tetesi za usajili zikimhusisha beki wa Yanga, Joyce Lomalisa kujiunga na Simba mwenyewe kaibuka na kuweka wazi kuwa yupo tayari kucheza timu yoyote Tanzania
Hakuna kitu kibaya kwenye mpira wetu kama kutengeneza balansi. Kutengeneza ulinganifu. Kocha wa timu ya taifa ikiita wachezaji, kila mtu anaangalia ulinganifu wa wachezaji wa
MSIMU uliopita wa Ligi ya Championship ulifika tamati mwishoni mwa wiki iliyopita baada ya kivumbi, jasho na damu kuvuja kwa wachezaji wa timu 16 zilizokuwa
Wakati mwingine wachezaji wanafanya vituko vya ajabu, hadi wao wenyewe wanajishangaa, pindi wanapopata utulivu wa kujitathimini baada ya majukumu yao, kuona walifanya vitu vya ajabu.
Aliyekuwa kocha wa makipa wa Simba, Muharami Sultani ‘Shilton’ (40) na wenzake wanaendelea kusota rumande kwa siku 526 sasa kutokana na upelelezi wa shauri hilo
SIMBA imeanza maisha mapya bila ya Abdelhak Benchikha aliyekuwa kocha mkuu wa timu hiyo ikipata sare ya 2-2 na Namungo mjini Lindi katika Ligi Kuu