BAADA ya kuanza vyema kibarua chake ndani ya Alliance Girls kwa kushinda mechi mbili za Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania Bara, Kocha Mkuu wa timu
Category: Michezo
UONGOZI wa Klabu ya Ceassia Queens kutoka Iringa, umempa kibarua cha kuhakikisha anamaliza katika nafasi nne za juu kwenye msimamo wa Ligi Kuu ya Wanawake
YANGA ina rekodi nzuri inapocheza dhidi ya Dodoma Jiji katika mechi za Ligi Kuu Bara kwani haijawahi kupoteza tangu zianze kukutana Desemba 19, 2020. Kocha
UNAWEZA kusema kimeumana huko Tunisia kwa wapinzani wa Simba katika Kombe la Shirikisho Afrika, CS Sfaxien ambapo mashabiki wake waliendeleza fujo wikiendi iliyopita ambazo zimeshinikiza
Dar es Salaam. Baada ya vigogo wanne wa Chadema kuchukua fomu kuwania uenyekiti wa chama hicho ngazi ya taifa, mchuano sasa umeanza kupamba moto kwenye
SIMBA imeokota pointi tatu zingine ngumu kwenye mchezo uliotoa mshindi dakika za jioni ikiichapa JKT Tanzania kwa bao 1-0, ushindi ukiendelea kuwaweka kileleni katika sikukuu
BEKI Mtanzania Abdallah Shaibu ‘Ninja’ amesema sababu ya kuvunja mkataba wa miezi sita uliokuwa umebaki katika klabu aliyokuwa anaichezea ya FC Lupopo ya DR Congo
BAADA ya Hassan Muhsin kuchaguliwa na wajumbe zaidi ya 235 kuwa mwenyekiti wa Klabu ya Coastal Union, ameitaja falsafa yake kuwa ni umoja ikiwa ni
Mkuu wa Mawasiliano na Uhusiano kutoka Airtel, Jackson Mmbando akizungumza jijini Dar Es Salaam leo Desemba 24, 2024, wakati wa kutangaza washindi wa Santa Mizawadi
RAIS wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia amesisitiza kuwa ni jambo la busara na hekima kuheshimu katiba inayoziongoza klabu zote nchini zilizopo chini