SIMBA Queens imeendeleza ubabe na kugawa dozi baada ya kuichapa JKT Queens mabao 2-0 kwenye Uwanja wa Azam Complex, Chamazi ikiwa juzi tu imetoka kumchapa
Category: Michezo
Na Mwandishi wetu. Dar es Salaam. Mashabiki wa soka, tenisi, UFC, Kriketi, baseball na michezo mingine sawa wanaweza kushinda tiketi ya kwenda Dubai kwa
WAKATI Yanga imebakiza pointi 12 ikiwa ni sawa na mechi nne ili kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara kwa msimu wa tatu mfululizo, kocha wa
LIGI ya Championship imefikia tamati jana kwa msimu wa 2023/2024 huku Kocha Mkuu wa Pamba, Mbwana Makata akiweka rekodi ya kipekee kwa kuipandisha timu hiyo
UNAWEZA kuona kwa jicho la kisiasa mgogoro uliopelekea mechi ya pili ya nusu fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika baina ya RS Berkane na USM
BAADA ya kuandika rekodi mbili tamu Championship, winga wa Ken Gold, William Edgar amesema bado hajajua hatma yake kubaki au kuondoka kikosini humo msimu ujao.
BARAZA la Michezo la Taifa (BMT) limewataka waogeleaji wa timu ya Taifa kuhakikisha wanafanya vema kwenye mashindano ya kuogelea ya Afrika (Africa Aquatics Swimming Championship)
USM Alger itatozwa faini ya Dola 50,000 (Sh 130 milioni) na kufungiwa kushiriki mashindano yote ya klabu yaliyo chini ya Shirikisho la Mpira wa Miguu
Mashabiki wa soka nchini wamemisi maufundi ya kiungo wa Yanga, Muivory Coast Pacome Zouzoua aliyekuwa majeruhi, lakini mwenyewe amefunguka kupona na sasa yupo tayari kurejea
Baada ya aliyekuwa Kocha Mkuu wa Simba, Abdelhak Benchikha kuondoka jana, hatimaye timu hiyo sasa imebaki chini ya Juma Mgunda na Selemani Matola, lakini kuna