TP Lindanda wana Kawekamo timu ya Pamba Jiji FC imerejea tena Ligi Kuu Bara na kuwakata kiu mashabiki wa soka wa Jiji la Mwanza ambao
Category: Michezo
HESHIMA aliyojijengea nahodha wa Simba, John Bocco tangu aanze kucheza Ligi Kuu Bara mwaka 2008 hadi 2024, inawafanya mashabiki kuyafuatilia maisha yake na kutaka kujua
WAKATI Juma Mgunda akihusishwa na mipango ya kurudi kuifundisha Simba kutokana na kuondoka kwa Abdelhak Benchikha, kocha huyo maarufu kama ‘Guardiola Mnene’ amesema hata yeye
KLABU ya Simba muda wowote kuanzia sasa itatangaza kuachana na aliyekuwa kocha mkuu wa timu hiyo Mualgeria, Abdelhak Benchikha ikiwa ni siku moja tangu atwae
KIKOSI cha Simba kimewasili kutoka Zanzibar ambako kimetwaa taji la sita la Muungano na kuunganisha moja kwa moja kuifuata Namungo tayari kwa mchezo wa ligi
KOCHA wa Simba, Abdelhak Benchikha, anatarajiwa kuachana na klabu hiyo leo baada ya kusimamia mechi yake ya mwisho ya ushindi wa 1-0 dhidi ya Azam
Ni fursa nzuri kwa Pamba kumaliza unyonge wa miaka 22 wa kukaa bila kushiriki Ligi Kuu itakapokabiliana na Mbuni FC kwenye Uwanja wa Sheikh Amri
Wakati zikibaki siku 44 kabla ya mchezo wa kuwania kufuzu fainali za Kombe la Dunia dhidi ya Zambia kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, mwenendo wa
KOCHA wa zamani wa Feisal Salum ‘Fei Toto’, Salum Khatib amefariki dunia baada ya kugongwa na gari akitokea mazoezini kuinoa timu ya JKU SC na
UKISIKIA haishi hadi iishe ndio hii. Baada ya kumkosa katika dirisha dogo la usajili la msimu huu, mabosi wa Simba wameamua kumkomalia beki wa kati