SIMBA imeendeleza ubabe wa Ligi Kuu ya wanawake (WPL) mbele ya Yanga kwa kuifunga tena mabao 3-1 kwenye Uwanja wa Azam Complex, Chamazi. Mabao ya
Category: Michezo
BAADA ya kiungo wa Azam FC, Feisal Salum ‘Fei Toto’ kuyafikia mabao 14 aliyofunga, Prince Dube msimu wa 2020/21, amebakiwa na mitihani miwili ndani ya
Mvua zinazoendelea kunyesha katika mikoa mbalimbali hapa nchini, zimeonekana kutishia kutibua ratiba ya michezo ya Ligi Kuu Bara. Jumanne wiki hii, ilishuhudiwa mchezo baina ya
ADEL Amrouche amerejea tena kwenye rada za kuinoa Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini, baada ya timu hiyo kuonekana kuhitaji kocha mwingine kwa ajili ya msimu
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amemzawadia zawadi ya fedha nahodha wa timu ya taifa ya Faru Weusi wa Ngorongoro,
SERIKALI kupitia Wizara ya Utamaduni Sanaa na Michezo umesaini mkataba na Kampuni ya Railway Construction Engineering Group (CRCEG) kutoka China, kwa ajili ya ukarabati wa
FEBRUARI mwaka huu, Simba ilikuwa juu ya Azam FC kwenye msimamo wa Ligi Kuu kwa tofauti ya pointi nne ambapo yenyewe ilikuwa na pointi 36
Hatimaye sababu ya kocha wa Simba Abdelhack Benchikha kumzuia Willy Esomba Onana kupiga penalti imefahamika. Jana usikukwenye Uwanja wa New Amaan Complex, Simba ilivaana na
Shirikisho la Soka Afrika (CAF) hatimaye limefanya uamuzi wa kuipa ushindi RS Berkane baada ya kubaini Wamorocco hao walifanyiwa vitendo sio vya kiungwana na wenyeji
LIGI Kuu Bara inaendelea tena leo kwa mchezo mmoja kupigwa ambapo Dodoma Jiji itakuwa kwenye Uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma kucheza na KMC. Dodoma ambayo