KATIKA Kariakoo Dabi ya Ligi Kuu Bara kati watani wa jadi, Simba na Yanga iliyochezwa Jumamosi iliyopita kwenye Uwanja wa Benjamini Mkapa ilishuhudia Yanga ikiibuka
Category: Michezo
Nyota wa JKT Tanzania, Hassan Kapalata amesema haikuwa rahisi kupambana na kiungo wa Yanga, Khalid Aucho katika mchezo wa Ligi Kuu Bara baina ya timu
NAKUMBUKA ilikuwa Januari 2022, wakati mashindano ya AFCON 2021, yanaendelea kule Cameroon. Baada ya mchezo wa hatua ya makundi kati ya Algeria na Ivory Coast
HISTORIA ya maisha ya mshambuliaji wa JKT Tanzania, Matheo Antony itakufunza kutoyakatia tamaa maisha, kwani wakati anasajiliwa Yanga msimu wa 2015/16 alikuwa anapiga mishe za
Garfield (Gary) Sobers. Moja ya majina makubwa sana katika Kisiwa cha Barbados ikiwa ni zaidi ya miaka 40 anaimbwa na kila mtu. Ameitangaza vyema nchi
SIMBA baada ya kuchapwa mabao 2-1 na watani wao wa jadi Yanga kwenye mechi ya ligi wikiendi iliyopita, jana ilikuwa uwanjani Zanzibar kwaajili ya michuano
AZAM imecheza mechi 11 bila ya mshambuliaji asilia, kutokana na Allasane Diao kuwa majeruhi, huku Prince Dube akiisusa timu akilazimisha kuondoka, lakini hilo halijaizuia timu
NIDHAMU nzuri ya kujilinda kwa vijana wa Malale Hamsini, JKT Tanzania ni miongoni mwa mambo ambayo yaliifanya Yanga kuwa na wakati mgumu kuifungua ngome ya
AZAM FC imeanza mazungumzo ya kumuongezea mkataba mpya beki kiraka, Natahaniel Chilambo lakini wakati hilo likitokea, Ihefu imeibuka ghafla na kuonyesha nia ya kumhitaji mlinzi
Na Mwandishi W doetu Serikali ya Tanzania imesema kuwa inatekeleza uhamaji wa hiari wa wananchi kutoka Ngorongoro ili kulinda haki za binadamu na uhifadhi. Hayo