Arusha. Tanzania imefanikiwa kuwa kinara wa idadi kubwa ya wanyamapori aina ya nyati na simba barani Afrika. Kwa upande wa nyati, Afrika nzima wako 401,000
Category: Michezo
Na John Mapepele Serikali imesema Tanzania inaongoza kwa kuwa na Simba, Nyati na Chui wengi katika bara la Afrika huku ikishirikilia nafasi ya tatu kwa
ALIYEWAHI kuwa Mwenyekiti wa Yanga, Yusuf Manji, Jumamosi iliyopita alishuhudia mchezo wa Dabi ya Kariakoo kati ya Yanga na Simba na kusema: “Tatizo la Simba
Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) ambayo ni mdhamini Mkuu wa Ligi Kuu ya Soka ya Tanzania Bara, NBC Premiere League juzi Jumamosi ilinogesha shangwe
Nahodha wa Taliss Swim Club, Delbert Ipilinga amefichua siri ya kuibuka washindi wa jumla kwenye michuano ya 16 ya Klabu Bingwa Tanzania (TNCC) kuwa ni
Ushindi wa mabao 2-1 ambao Yanga iliupata dhidi ya Simba katika dabi ya Kariakoo, Jumamosi iliyopita kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, yanaweza kuwa matokeo yaliyorahisishwa
KIPIGO cha pili mfululizo kwa Simba kutoka kwa watani wao wa Yanga, kunawapa wakati mgumu mabosi wa Msimbazi kwani kwa sasa wana kazi ngumu ya
NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV KLABU ya Yanga imeendelea kutamba mbele ya watani wao Simba Sc mara baada ya kufanikiwa kuichapa 2-1 kwenye dimba la
Dodoma. Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo, msemo huu unashabihiana na maisha ya Veneranda Kasimiri (17), mcheza soka katika timu ya Fountain Gate Princess. Mbali ya soka,
TIMU ya APR imetwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya Rwanda 2023/24 bila ya kupoteza mchezo huku kikosini kwake ikiwa na mastaa wawili walioachwa na Simba