Bw. Mohamed Ally, mkurugenzi wa miradi wa kampuni ya GSM Tanzania (kushoto) akimkabidhi zawadi ya Kiyoyozi mmoja wa wadau wa vifaa vya kielektroniki vya Haier
Category: Michezo
Sare isiyo ya mabao iliyopata watetezi wa Ligi ya Mabingwa Afrika, Al Ahly ya Misri ikiwa ugenini dhidi ya TP Mazembe ya DR Congo, imeiweka
Kocha Msaidizi wa Simba, Seleman Matola, amesema kupoteza tena mbele ya Yanga kumezidi kufanya safari ya ubingwa kuwa ngumu. Akizungumza baada ya dakika 90 za
Kocha Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi, amesema licha ya kufanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Simba, amekiri kuwa haikuwa rahisi huku akiwamwagia
Yanga imeendeleza ubabe kwa Simba baada ya kuichapa kwa mara ya pili ndani ya Ligi Kuu Bara katika msimu mmoja kutokana na kushinda mabao 2-1,
LEO saa 4:00 asubuhi katika Uwanja wa Meja Jenerali Isamuyo ilipigwa mechi ya Ligi Kuu ya Wanawake (WPL), JKT Queens ikiwa nyumbani na kuondoka na
Muda mfupi baada ya Yanga kuwasili katika Uwanja wa Mkapa, wamelazimika kugomea kuingia kwenye chumba cha kubadilishia nguo. Maofisa wa Yanga waliotangulia kukagua chumba hicho walionekana
KOCHA wa Simba, Abdelhak Benchikha amemuanzisha kipa Ayoub Lakred katika mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya watani zao, Yanga. Ayoub aliyesajiliwa na timu hiyo
BAADA ya kukosekana katika michezo minne iliyopita sawa na dakika 360, hatimaye beki wa kulia wa Yanga, Attohoula Yao amerejea uwanjani kwa kupangwa kuanza katika
SAA chache kabla ya Yanga kuanza safari ya kuja uwanjani kiungo wa timu hiyo amewasilisha maombi kwa kocha wake ampe hata dakika 20 za mchezo