Na Mwandishi Wetu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Dk. Damas Ndumbaro, amemualika Waziri wa Michezo wa Ivory Coast Adjé Silas kushuhudia mechi ya Simba
Category: Michezo
Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital WASHINDI 56 Promosheni ya Mtoko wa Kibingwa msimu wa 07 kuitazama Derby ya Kariakoo kati ya Yanga na Simba itakayofanyika
Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital WASHINDI 56 Promosheni ya Mtoko wa Kibingwa msimu wa 07 kuitazama Derby ya Kariakoo kati ya Yanga na Simba itakayofanyika
KOCHA Msaidizi wa Simba, Suleiman Matola amesema hakuna mechi rahisi ya dabi wanawaheshimu wapinzani wao kutokana na kuwa bora lakini wao pia wamejiandaa kukabiliana nao.
JUMAMOSI ya wiki hii, kuna Kariakoo Dabi inapigwa kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar es Salaam, Yanga ni wenyeji wa mchezo huo wa Ligi Kuu Bara
SIMBA inatarajia kutua jijini Dar es Salaam leo alasiri, ikitokea Zanzibar ambako iliweka kambi ya siku tatu, kujiandaa na Kariakoo Dabi dhidi ya mtani wake
UKISIKIA mwisho wa ubishi ndio huu wakati vigogo vya soka nchini, Simba na Yanga zitavaana katika mechi ya marudiano ya Ligi Kuu Bara. Ndio, kesho
TUNAENDELEA na simulizi zetu za mechi ijayo ya watani wa jadi, Aprili 20 mwaka huu…yaani Jumamosi hii! Hii ni mechi ya kwanza tangu Yanga wawape
MECHI za watani wa jadi huweza kuamuliwa na uwezo binafsi wa washambuliaji, viungo na mara chache mabeki, lakini mbinu za kocha zinaweza pia kuwa nguzo
Ilikuwa Novemba 5, 2023 uwanja wa Benjamin Mkapa ambapo Yanga iliichapa Simba mabao 5-1 kwenye mechi ya ligi na kupelekea kufutwa kazi kwa aliyekuwa kocha