ZAMANI mabondia wengi wa Bongo walikuwa wanapanda daladala au kukodisha magari kwa ajili ya kufika katika maeneo mengine kabla ya kuibuka kwa uwepo wa pikipiki
Category: Michezo
NILETEENI wachezaji wa maana’. Ndivyo alivyoagiza mchezaji wa zamani wa Lille ya Ufaransa, Souleymane Youla ambaye Juni mwaka huu, atatua nchini akiongoza jopo la maskauti
BURUDANI yake kubwa siku zote kwake imekuwa kupanda juu ya ulingo kama msaidizi wa bondia na ikishindikana kwa bondia wa ndani basi usishangae kumuona akiwa
KAMA kuna hadithi tamu ya kuisimilia katika ulimwengu wa soka, basi ni hii ya muujiza wa kocha Xabi Alonso na klabu yake ya Bayer Leverkusen
NEVADA, MAREKANI: Kazi kazi. Mchezo wa ngumi ni moja ya michezo inayolipa pesa ndefu kwa mabondia kupanda ulingoni. Haijalishi bondia atapigana kwa muda gani. Wapo
Picha la Azam FC na Prince Dube limeanza upya na kuanzia kesho yatafichuka mengi pande hizo mbili zitakapokutana uso kwa uso kwa mara nyingine. Mwanaspoti
WAKATI Raska Zone ikianza mazoezi kujiandaa na Ligi Daraja la Kwanza Kanda ya Unguja, mastaa wametamba kurejea uwanjani kwa nguvu mpya kutafuta kupanda Ligi Kuu
Wiki chache zilizopita bendera ya Tanzania ilipepea huko Nigeria kwa mchezaji wa Ligi Kuu Bara, Benjamin Tanimu kutoka Ihefu (Singida Black Stars) kuitwa na kucheza