WAKATI leo Simba ikiwa mwenyeji wa JKT Tanzania katika mchezo wa Ligi Kuu Bara, kipa namba moja wa timu hiyo, Moussa Camara ameonekana kuweka mizizi
Category: Michezo
BILIONEA Sir Jim Ratcliffe na bodi ya Manchester United hawataingilia uamuzi wa kocha Ruben Amorim juu ya mchezaji Marcus Rashford. Staa huyo wa kimataifa wa
Jeshi la Magereza Tanzania Bara limemuonya Ofisa Habari wa zamani wa Yanga, Haji Manara dhidi ya kauli isiyokuwa ya kiungwana juu ya jeshi hilo anayodaiwa
KOCHA wa Tabora United, Anicet Kiazayidi amesema kikosi hicho kiko katika mwelekeo mzuri ingawa ana kazi kubwa ya kufanya mzunguko wa pili wa Ligi Kuu
Shirika la Madini la Taifa STAMICO lafamya kampeni ya kutoa elimu na kuhamasisha matumizi ya nishati safi nchini ili kuokoa mazingira na balaa la
Uongozi wa Simba umeeleza kusikitishwa na kifo cha aliyekuwa mtendaji wake mkuu, Dk Anorld Kashembe. Taarifa iliyotolewa na Simba leo Jumatatu Desemba 23, 2024 imeeleza
MECHI 15 za mzunguko wa kwanza wa Ligi Kuu Bara zimempa mwanga Kocha Mkuu wa Mashujaa, Abdallah Mohamed ‘Bares’ aliyedai watahakikisha wanakuwa bora zaidi ili
KASI ya Simba na Yanga katika Ligi Kuu Bara katika mechi za hivi karibuni Lihi Kuu Bara, imemshtua Kocha wa Azam, Rachid Taoussi na kuwataka
KOCHA Mkuu wa Coastal Union, Juma Mwambusi amesema usajili mzuri watakaoufanya dirisha dogo la usajili utaamua hatma ya timu hiyo ambayo haijawa na matokeo mazuri
Mamlaka ya Mji Mkongwe Zanzibar imepiga marufuku upigaji wa makachu katika eneo la bustani ya Forodhani, baada ya kudaiwa kufanyika vitendo vinavyokiuka maadili. Taarifa iliyotolewa