YANGA mwendo wa fedha tu. Baada ya kujihakikishia kuvuna Sh 600 Milioni kwa kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara kutoka kwa wadhamini wa ligi hiyo,
Category: Michezo

MSIMU wa 2023/2024 umetamatika rasmi majuzi baada ya Yanga kutwaa ubingwa wa Kombe la Shirikishi kwa kuichapa Azam FC kwa penalti 6-5 katika fainali kali

UONGOZI wa Pamba umeanza kufanyia tathimini ya kikosi hicho kwa ajili ya msimu ujao wa Ligi Kuu Bara huku ikiwa katika mazungumzo na aliyekuwa Kocha

MABOSI wa Yanga chini ya Rais wa timu hiyo, Injinia Hersio Said umeendelea kufanya vikao na Kocha Mkuu wa timu hiyo, Miguel Gamondi aliyemaliza mkataba

MSIMU wa 2023/2024 umetamatika rasmi majuzi baada ya Yanga kutwaa ubingwa wa Kombe la Shirikishi kwa kuichapa Azam FC kwa penalti 6-5 katika fainali kali

Simba Queens ipo katika mazungumzo na beki wa kati wa Yanga Princess, Noela Luhala anayemeliza mkataba wake na klabu hiyo mwishoni mwa msimu huu. Simba

MUDA wowote kuanzia sasa huenda kocha wa zamani wa Yanga, aliyepo kwa sasa FAR Rabat ya Morocco, Nassredine Nabi akatangazwa na Kaizer Chiefs ya Afrika

KIUNGO wa Azam FC, Feisal Salum ‘Fei Toto’ ambaye amepachika mabao 19 msimu huu akisema ndio msimu wake bora licha ya kukosa mataji, ametaja kikosi

Club ya Yanga leo imepewa Tsh milioni 537.5 na Mdhani wao wa Mkuu SportPesa kama sehemu ya zawadi (bonus) ya kufanya vizuri katika msimu wa

KUONGOZA timu hadi kufanikiwa katika nchi ya kigeni si kazi rahisi kwa kocha yeyote yule. Ndio maana wakati kocha Mkenya David Ouma alipokubali ofa ya