UONGOZI wa KMC uko katika mazungumzo ya kupata saini ya aliyekuwa mshambuliaji wa timu hiyo, Shaaban Idd Chilunda baada ya kocha Kally Ongala kutoridhishwa na
Category: Michezo
KOCHA mpya wa Ceasiaa Queens, Ezekiel Chobanka amesema anahitaji nyota wapya wanne ili kukiongezea nguvu kikosi hicho. Chobanka alisajiliwa msimu huu akitokea Alliance Girls ambako
KLABU ya Namungo iko katika hatua za mwisho za kukamilisha uhamisho wa aliyekuwa winga wa Coastal Union, Issa Abushehe ‘Messi’, baada ya nyota huyo kuvunja
SIMBA Queens imeanza mazungumzo ya kumpata kipa Wilfred Seda ukiwa ni ingizo la pili kwenye dirisha hili la usajili. Mabingwa hao watetezi hadi sasa wamesajili
SIMBA Queens imeanza mazungumzo ya kumpata kipa Wilfred Seda ukiwa ni ingizo la pili kwenye dirisha hili la usajili. Mabingwa hao watetezi hadi sasa wamesajili
TABORA United bado ina hasira za kichapo cha mabao 3-0 ilichopewa na Simba katika mechi ya duru la kwanza ambacho iliwakosa mastaa wake wa kigeni
MSHAMBULIAJI wa Yanga, Jean Baleke hana nafasi katika kikosi cha timu hiyo tangu enzi za kocha Miguel Gamondi na hata sasa timu ikiwa chini ya
SIMBA imesharejea Dar es Salaam tayari kwa mechi ijayo dhidi ya JKT Tanzania, huku kocha wa timu hiyo, Fadlu David akikunwa na kiwango cha Ladack
YANGA leo imeendelea wimbi la ushindi baada ya kuifumua Tanzania Prisons kwa mabao 4-0 katika mechi ya Ligi Kuu Bara, huku Prince Dube akitupia bao
KIUNGO wa JKT Queens, Fatuma Bushiri ‘Tshishimbi’ amesema licha ya kucheza muda mrefu anapopata nafasi ya kuanza kwenye mchezo anapambana kuhakikisha timu inapata matokeo. Mchezaji