ALIYEKUWA mshambuliaji na nahodha wa Simba, John Raphael Bocco ‘Adebayor’, ametangaza rasmi kustaafu soka la ushindani baada ya kucheza kwa misimu 16 mfululizo huku akijitengenezea
Category: Michezo

Kama mambo yakienda sawa, mshambuliaji aliyemaliza mkataba wake KMC, Waziri Junior anaweza akasaini Ihefu muda wowote, baada ya kurejea kutoka katika majukumu ya Taifa Stars.

Na Happiness Shayo Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Jamhuri ya Indonesia zinajipanga kushirikiana katika masuala ya utangazaji utalii, kubadilishana

KIPA mye ‘clean sheet’ nyingi Ligi Kuu Tanzania Bara, Ley Matampi amezua utata juu ya mkataba wake na waajiri wake Coastal Union baada ya pande

KIPA namba moja wa Yanga, Djgui Diarra ameitaja fainali ya Kombe la FA kuwa ni moja ya mchezo wake bora ndani ya misimu yake mitatu

“MAISHA ya mwanadamu ni hadithi tu hapa duniani, basi ndugu yangu kuwa hadithi nzuri kwa hao watakaosimuliwa.” Hii ni moja ya nukuu zenye ujumbe mzito

KANUNI za Ligi Kuu, zinalazimisha Yanga na Simba kukutana mara tatu msimu ujao ingawa inaweza kuwa zaidi ya hapo ikiwa zitafanya vyema katika mashindano mengine.

BAADA ya kufanikiwa kubaki salama Ligi Kuu, Kocha Mkuu wa Mashujaa, Abdalah Mohamed ’Bares’ amesema ripoti aliyowasilisha kwa uongozi iwapo itafanyiwa kazi ipasavyo, msimu ujao

Wakati mchezo wa play off hatua ya kwanza kwa timu za Tabora United na JKT Tanzania ukipigwa leo Jumanne, presha imeonekana kutawala ndani na nje

FEDHA ndefu! Hivyo ndiyo unaweza kusema baada ya Yanga kufanikiwa kutwaa ubingwa wa FA ambao unawafanya wakusanye kitita kikubwa cha fedha msimu huu baada ya