WIKI moja tu iliyopita chupa zilikuwa mezani stori zikiwa mdomoni. Nilikuwa na Edibily Jonas Lunyamila baa fulani Mbezi Beach tukipiga stori za zamani. Bahati iliyoje.
Category: Michezo

BEKI wa Yanga SC, Ibrahim Hamad ‘Bacca’ anatajwa kuwa mmoja wa wachezaji wanaokumbukwa zaidi na KMKM ya Zanzibar kutokana na aliyowahi kuyafanya ndani ya timu

BAADA dakika chache kutangaza kwamba ameachana na klabu ya Genk ya Ubelgiji, Kevin John, mchezaji aliyewahi kupachikwa jina la ‘Mbappe wa Tanzania’ alijitangaza kuwa mchezaji

UWANJA wa New Amaan Complex uliopo Unguja, Zanzibar, wenye uwezo wa kuingiza watazamaji zaidi ya 15,000, bado upo kwenye maboresho. Uwanja huo ambao umeipa heshima

KAMA mambo yakienda sawa, mshambuliaji aliyemaliza mkataba wake KMC, Waziri Junior anaweza akasaini muda wowote kuanzia leo Jumanne, baada ya kurejea kutoka katika majukumu ya

MECHI ya Fainali ya Ligi ya Mabingwa wa Ulaya baina ya Borussia Dortmund na Real Madrid iliyofanyika juzi usiku imehitimisha msimu wa soka barani Ulaya,

RIYADH, SAUDI ARABIA: UTAJIRI wa supastaa Cristiano Ronaldo unaripotiwa kuwa Dola 600 milioni. Ni mkwanja mrefu kweli kweli. Lakini, ushawahi kujiuliza, mwanamke, ambaye Ronaldo amezama

KATIKA kuhakikisha usawa wa kijinsia kwenye mchezo wa gofu, klabu ya TPC Moshi imeanza rasmi mchakato wa kuongeza idadi ya wachezaji wa kike. Mzuka wa

Benki ya Taifa ya Biashara (NBC), mdhamini Mkuu wa Ligi ya Kuu ya Tanzania Bara (NBC Premiere League) imeendesha msimu wa pili wa program yake

KUNA lingine huko…ni swali lililokuwa likiulizwa kwa furaha na mashabiki wa Yanga baada ya timu hiyo kutetea taji la Kombe la Shirikisho kwa msimu wa