MWISHO wa ubishi. Ndivyo unavyoweza kusema wakati Azam FC na Yanga zitakapovaana katika mechi ya fainali ya Kombe la Shirikisho. Mechi hiyo inatarajiwa kupigwa kesho
Category: Michezo

Baada ya kushuhudia Yanga ikichukua ubingwa wa Ligi Kuu Bara na sasa macho ya wapenda soka yapo visiwani Zanzibar kwenye fainali za Kombe la Shirikisho.

Kibaha. Zaidi ya wananchi 100 katika Kata ya Pangani Halmashauri ya Mji wa Kibaha Mkoa wa Pwani ,wamekosa makazi baada ya nyumba zao kubomolewa na

NI rasmi sasa kwamba beki Mkongomani Chadrack Boka ni mali ya Yanga. Mwanaspoti limejiridhisha kwamba staa huyo amesainishwa mkataba wa awali wa miaka miwili mjini

DURU za kispoti zimeliambia Mwanaspoti kwamba kuna fagio la chuma litaanza kupita Simba na Yanga kwenye kipindi kisichozidi wiki moja kuanzia leo. Ni fagio ambalo

MASHABIKI wa soka visiwani Zanzibar wana kiu ya kuona udambwidambwi wa Stephane Aziz KI, Pacome Zouzoua na Yao Kouassi wa Yanga pamoja na mziki mnene

UONGOZI wa Simba umefunguka namna nahodha wa zamani, John Bocco alivyokuwa na jukumu la kusaidia kutuliza migomo na kuongoza wachezaji wenzake nje na rekodi ya

Mwanafizikia wa Arsenal Jordan Reece anaripotiwa kuwa tayari kuondoka katika klabu hiyo na kujiunga na Manchester United. Mashetan wekundu walimwajiri daktari wa Arsenal Gary O’Driscoll

ALIYEKUWA mshambuliaji wa Yanga, Amissi Tambwe ameonyesha kushtushwa na kiwango bora cha kiungo mshambuliaji wa timu hiyo, Stephane Aziz Ki alichokionyesha msimu huu na kuifikia

SIKU chache tangu Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) litangaze tuzo za soka kwa msimu wa 2023-2024 zitatolewa wakati ya Ngao ya Jamii ya uzinduzi wa