LIGI Kuu Tanzania Bara ilimalizika wiki hii kwa aina yake huku rekodi kibao zikiwekwa kwenye maeneo mbalimbali. Makocha na wachezaji walikiri ulikuwa ni msimu wenye
Category: Michezo

DURU za kispoti zimeliambia Mwanaspoti kwamba kuna fagio la chuma litaanza kupita Simba na Yanga kwenye kipindi kisichozidi wiki moja kuanzia leo. Ni fagio ambalo

KUNA usajili wa kushtua unaoweza kujitokeza kwenye dirisha lijalo la usajili wa Ligi Kuu Bara. Jean Baleke kwenda Yanga. Mkongomani huyo ambaye kwa sasa anaichezea

UBORA wa viwanja una nafasi kubwa ya kuzalisha ligi, wachezaji na timu bora na ni jambo lililo wazi hakuna nchi yoyote iliyopiga hatua kisoka ambayo

VIWANJA ni miongoni mwa mahitaji makuu ya Shirikisho la Soka Afrika (Caf) katika kutoa haki za uenyeji wa fainali za mataifa ya Afrika (Afcon). Tanzania

MACHO hayaamini yanachokiona kwenye ukurasa wa Instagram wa nahodha wa Simba, John Bocco ambaye msimu huu hakuonekana uwanjani kwa muda mrefu kutokana na majeraha. Ninachokisoma

MSIMU wa 2020/2021, Gwambina FC ya Mwanza ilishuka daraja ikiwa ndio kwanza imeshiriki Ligi Kuu kwa msimu mmoja baada ya kumaliza ikiwa nafasi ya 16

HONGERA sana Azam FC kwa kujihakikishia tiketi ya kushiriki Ligi ya Mabingwa Afrika msimu ujao ikiungana na Yanga iliyotwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara msimu

Na Jane Edward, Dodoma Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wameipongeza Wizara ya Maliasili na Utalii kwa ubunifu wa kuandaa Maonesho maalumu

BAADA ya msimu wa Ligi Kuu Bara kumalizika Jumanne ya Mei 28, 2024, mastaa wa zamani na makocha wamechambua ubora na mambo ya kufayafanyia marekebisho