MWANAMITINDO na mwanamuziki, Hamisa Mobetto amefafanua kuhusu ukaribu wake na mchezaji wa Yanga, Stephane Aziz Ki na kuzungumzia pia uvumi kwamba ana uhusiano na kigogo
Category: Michezo

BAADA ya kuwepo kwa tetesi za nahodha wa taifa Stars, Mbwana Samatta, kuandika barua ya kustaafu kuitumikia timu hiyo, baba wa supastaa huyo ameibuka na

MSIMU wa Ligi Kuu Bara 2023-2024 umetamatika juzi Jumanne huku Kipa wa Coastal Union, Ley Matampi akiibuka kinara wa clean sheets akimpiga bao Djigui Diarra

YANGA ndio mabingwa tena. Imebeba taji hilo kwa mara ya tatu mfululizo, ikiendeleza ubabe wake kwenye safari iliyokuwa na mabonde na milima. Yanga imelichukua taji

SIMBA iko chimbo ikiendelea kusuka kikosi chake kimya kimya baada ya kumaliza vibaya msimu wa 2023/2024 kwa kupoteza mataji sambamba na mabilioni ya pesa ikiwemo

KAMA ulidhani ishu ya udanganyifu wa umri ipo katika ngazi ya juu tu ya soka la Tanzania, basi ulikuwa unajidanganya, unaambiwa zaidi ya wachezaji 10

KAZI imeanza Simba. Na inaanzia langoni. Simba imeanza mchakato wa kusuka upya kikosi chake na tayari mezani ina majina mawili ya makipa wa kigeni ambapo

BAADA ya uchunguzi wa Mwanaspoti kubaini takribani viwanja 14 vinavyotumika na timu za Ligi Kuu havikidhi vigezo vya mwongozo wa Shirikisho la Mpira wa Miguu

TUZO za Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kwa msimu huu zitafanyika wakati wa mchezo wa Ngao ya Jamii tofauti na mwanzoni zilipokuwa zinafanyika

KATIKA kila nchi wapigakura huwa na mambo yanayowafanya kuamua chama gani wakichague wakati wa uchaguzi, ambapo wapo ambao hukichagua kuongoza kwa kuamini kutakuwepo na amani