SAFARI ya Azam FC kuisaka nafasi ya kushiriki michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika msimu ujao imefanikiwa baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi
Category: Michezo

MKALI wa kulinda nyavu ‘clean sheet’ katika Ligi Kuu Bara msimu huu ameibuka kuwa kipa Ley Matampi wa Coastal Union baada ya kumaliza akiwa nazo

UZEE wa Saido Ntibazonkiza ni ‘uzee wa busara’. Utu uzima dawa. Ni ile maana halisi ya hakuna kijiji kinachokosa wazee. Ligi yetu bado ina maajabu

UBORA wa viwanja una nafasi kubwa ya kuzalisha ligi, wachezaji na timu bora na ni jambo lililo wazi hakuna nchi yoyote iliyopiga hatua kisoka ambayo

Dar es Salaam. Wizi kwa njia ya mifumo unaendelea kuota mizizi serikalini, safari hii ukiwahusisha baadhi ya askari wa usalama barabarani. Kutokana na hilo, wanazuoni

UZEE wa Saido Ntibazonkiza ni ‘uzee wa busara’. Utu uzima dawa. Ni ile maana halisi ya hakuna kijiji kinachokosa wazee. Ligi yetu bado ina maajabu

Dar es Salaam. Mechi za mwisho za msimu wa Ligi Kuu Bara zinaendelea kwa sasa, kwa upande wao Yanga inaongoza mabao 2-1 yakifungwa na Aziz Ki.

LICHA ya Wilaya ya Ubungo kuanza vibaya baadhi ya michezo ikiwemo mpira wa mikono (handball) kwenye mashindano ya Umoja wa Michezo na Taaluma kwa Shule

KAMATI ya mpito ya Kamisheni ya Kusimamia Ngumi za Kulipwa Tanzania (TPBRC) imesitisha pambano la kimataifa kati ya Mtanzania, Hassan Mwakinyo dhidi ya Mghana, Patrick

KOCHA Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi ameipa timu hiyo mtihani mzito baada ya kupokea ofa kutoka timu tatu tofauti. Gamondi aliyesaini mkataba wa mwaka mmoja