Aliyekuwa kocha wa makipa wa Simba, Muharami Sultani (40) na wenzake wanaendelea kusota rumande kwa siku 553 sasa, kutokana na upelelezi wa shauri lao kutokamilka. Sultan
Category: Michezo

BAADA ya uwepo wa taarifa za Yanga kutaka kuachana na kipa Metacha Mnata, timu ya Ihefu inahusishwa kuzungumza naye na huenda msimu ujao akawa sehemu

NIKAMSIKIA mahala rafiki yetu Aziz Ki akisema hajawahi kuona akipendwa mahali popote kama anavyopendwa Tanzania. Nikamsikia akisema ana ofa nzuri kutoka kwingineko, lakini anawapa Yanga

Mdhamini mkuu wa Ligi ya Vijana chini ya miaka 20 (U20 Youth League) Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imekabidhi kombe la ubingwa wa ligi

MAFURIKO. Jiji limesimama, hii ni baada ya jana Jumapili Jiji la Dar es Salaam nusu lilikuwa ni kama mali ya Yanga, baada ya timu hiyo

KILE chenye raha huwa kina karaha yake. Shabiki mmoja wa Yanga amejikuta kwenye maumivu ya muda baada ya kutandikwa teke mgongoni na farasi wa Polisi.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Kazi Maalum), Kapteni Mstaafu George Mkuchika (Kushoto) sambamba na Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace

LIVERPOOL, ENGLAND: JURGEN Klopp ameondoka England baada ya kudumu Liverpool kwa misimu tisa na anahitaji kupumzika. Klopp alisema ameushiwa nguvu ya kuendelea na kazi hiyo

PATRICE Motsepe. Mtu na pesa zake. Ana utajiri wa Dola 3 bilioni. Haupati ubilionea kama hauna akili. Sio lazima ziwe akili za darasani. Zinaweza kuwa

WIKI iliyopita Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo iliwasilisha bungeni makadirio ya mapato na matumizi yake kwa mwaka 2024/25 yaliyoonyesha ongezeko kubwa la zaidi ya