KOCHA wa Kagera Sugar, Melis Medo, amesema kipigo cha mabao 5-2 walichokipata kutoka kwa Simba, wikiendi iliyopita, ni funzo kubwa kwa timu yake. Katika mchezo
Category: Michezo
BAADA ya kuona mapungufu kwenye baadhi ya maeneo, Yanga Princess inadaiwa imekamilisha usajili wa wachezaji watatu kutoka Get Program. Nyota hao ni beki wa kushoto,
KINDA la zamani la Yanga U-20 anayekipiga Wakiso Giants ya Uganda, Isack Emmanuel Mtengwa amesema kocha wa timu hiyo ana mchango mkubwa kukua kwenye karia
LICHA ya kuanza kwa kusuasua katika First League, nyota wa zamani wa Simba na Mtibwa Sugar, Henry Joseph Shindika amesema hana hofu yoyote kwani anajua
BAADA ya kupewa kandarasi ya mwaka mmoja na Alliance Girls kama Kocha Mkuu, Sultan Juma amepata ushindi wa kwanza wa ligi wa mabao 5-1 dhidi
MSHAMBULIAJI wa Vancouver Whitecaps ya Canada, Cyprian Kachwele amesema amemaliza msimu salama akiondoka na mambo mbalimbali ikiwemo kupata uzoefu. Kachwele ni miongoni mwa washambuliaji ambao
SIKU chache baada ya kuapishwa kuendelea kuiongoza Chama cha Soka cha Geita kwa muhula mwingine kama Mwenyekiti, Salum Kulunge ameanika vipaumbele 10 vya kufanyia kazi
NAHODHA wa timu ya Taifa, Taifa Stars, Mbwana Samatta ameshaonja mafanikio ya soka, lakini kama hujui nyota huyu anayekipiga PAOK ya Ligi Kuu ya Ugiriki
WAKATI kukiwa na ukimya juu ya dili la kocha wa zamani wa Yanga, Miguel Gamondi kutua Singida Black Stars, inadaiwa kuwa, kocha huyo raia wa
BAADA ya kufanya vizuri kwenye msimu wake wa kwanza tu wa ligi, Mabingwa wa Ligi ya Wanawake FC Masar imemuandalia dili nono Mtanzania Hasnath Ubamba.