USHABIKI wa soka sio mchezo aisee. Mama mmoja amejikuta akitofautiana na baba mmoja waliyekuwa wameambatana baada ya kuuona msafara wa Yanga.
Category: Michezo

PAREDI la Kibingwa, linalofanywa na Yanga katika kutembeza Kombe la Ligi Kuu ililokabidhiwa jana, limesababisha baadhi ya shughuli jijini Dar es Salaam kwa muda ili

KIPIGO cha bao 1-0 ilichopewa na Simba katika mechi ya Ligi Kuu Bara iliyopigwa jana jijini hapa kutokana na bao la mapema la Saido Ntibazonkiza,

KIPA wa Tabora United, John Noble ameshindwa kujizuia na kuweka bayana kwa mtazamo wake Kiungo Bora kwa msimu huu wa Ligi Kuu Bara ni Stephane

MAAFANDE wa Tanzania Prisons imejihakikisha kusalia katika Ligi Kuu Bara baada ya leo kupata sare ya 2-2 ikiwa ugenini mbele ya Namungo na kutuliza presha

KIUNGO mshambuliaji wa Yanga, Aziz KI amesema kuhusu suala la kuongeza mkataba mpya ishu hiyo anaichia timu hiyo ambayo ameitumikia kwa msimu wa pili. Aziz KI

WAKATI Yanga ikiwa uwanjani ikipambana na Tabora United, mashabiki wa timu hiyo walikuwa kwenye presha kubwa iliyotokana na kiungo wa Azam FC, Feisal Salum ‘Fei Toto’.

Yanga imekabidhiwa taji la ubingwa wa Ligi Kuu Bara kwa staili ya aina yake kwa kombe hilo kushushwa katika Uwanja wa Benjamin Mkapa jana kwa

WAGOSI wa Kaya, Coastal Union wamejihakikisha nafasi ya kushiriki michuano ya kimataifa msimu ujao baada ya leo kukata tiketi ya CAF kwa kutoka suluhu na

WACHIMBA Dhahabu wa Geita, Geita Gold, wameendelea kujiweka pabaya katika Ligi Kuu Bara baada ya leo kufumuliwa mabao 2-1 na Singida Fountain Gate kwenye Uwanja