MABINGWA wa zamani wa Tanzania msimu wa 1999 na 2000, Mtibwa Sugar imeshuka rasmi jana baada ya kufumuliwa mabao 3-2 na Mashujaa katika mechi iliyopigwa
Category: Michezo

BAADA ya kukaushiwa kwa muda mrefu, hatimaye mshambuliaji nyota wa timu ya soka ya wanawake ya Al Nassr ya Saudi Arabia, Clara Luvanga amejumuishwa katika

SHAMRASHAMRA za Pati la Likipigwa zikiendelea kwa sasa kwenye Uwanja wa Benjamin Mkaja, jijini Dar es Salaam, nje kidogo ya uwanja huo utakaotumika kwa mechia

HATIMAYE ile chopa maalumu iliyokuwa na jukumu la kulileta Kombe la Ligi Kuu Bara litakalokabidhiwa Yanga mara baada ya mechi dhidi ya Tabora United, imelishusha

ZIKIWA zimesalia saa tatu tu ili mechi muhimu kati ya Yanga na Tabora United ichezwe, mashabiki nao hawapo nyuma. Yanga leo inaikaribisha Tabora United katika

Wakati mashabiki wa Yanga wakiendelea kufurika katika Uwanja wa Benjamin Mkapa, juu angani kuna burudani ya aina yake inaendelea. Nje ya uwanja, kuna mistari na

NDOTO za Mlandege kumaliza katika nafasi ya nne zimefikia tamati baada ya jana jioni kukandwa bao 1-0 na Uhamiaji, huku Mafunzo ikibanwa nyumbani na Hard

BAADA ya ushindi wa mabao 2-1 ilioupata Coastal Union dhidi ya Kagera ugenini, leo Mei 25 itakuwa katika Uwanja wa CCM Mkwakwani mjini Tanga kuikaribisha

MCHEZO wa Ligi Kuu Bara kati ya Geita Gold na Singida Fountain Gate utakaopigwa leo kwenye Uwanja wa Liti mjini Singida utakuwa ni vita ya

KANDA ya Kati kutakuwa na vita ya kipekee. Ihefu itakuwa nyumbani uwanja wa Liti kuikaribisha Dodoma Jiji. Katika mechi hiyo itakayoanza saa 10:00 jioni itakuwa