BAADA ya kuzikosa mechi mbili za Ligi Kuu Zanzibar (ZPL) kutokana na kuwa na majukumu ya timu ya taifa, Taifa Stars iliyokuwa Saudia kucheza mechi
Category: Michezo

LICHA ya upinzani mkali walionao kutoka kwa Simba SC ya Juma Mgunda, kocha wa Azam FC, Youssouf Dabo anaamini vijana wake wanaweza kupambana katika michezo

Rais wa Shirikisho la Soka Afrika (CAF) Patrice Motsepe amesema bao la kiungo mshambuliaji wa Yanga Stephanie Aziz KI dhidi ya Mamelodi Sundowns lilikuwa halali.

MAISHA ya wanasoka wengi yana historia ndefu. Wapo wanaoanza kwenye akademi za soka, wanaojikuta wakianza timu za mtaani na wanaoanzia shule na kutokana na vipaji

Rais wa Shirikisho la Soka Afrika (Caf), Patrice Motsepe ametua Zanzibar leo kushuhudia fainali za mashindano ya African Schools Football Championship Kwenye Uwanja wa Amaan

Rais was Shirikisho la soka Afrika (CAF) Patrice Motsepe amewasili Unguja Zanzibar leo kwa ajili ya kutazama fainali za African Schools Football. Motsepe baada ya

KIUNGO mshambuliaji wa Yanga, Stephane Aziz Ki, sio mtu wa mchezo, kwani rekodi zinaonyesha anafunga eneo lolote na mguu wowote bila kutarajia, kama data zinavyoonyesha

WAKATI mabosi wa Simba wakisisitiza kwamba beki wa kati wa timu hiyo, Henock Inonga ana mkataba hadi mwakani na kwa sasa wanasubiri kupokea ofa kutoka

DURU za ndani kabisa, zinasema Simba imenasa antena zake Jangwani ambako lolote linaweza kutokea kati yao na Kennedy Musonda wa Yanga. Habari zinasema kwamba Yanga

KUNA matumaini finyu kwa Mtibwa Sugar kusalia katika Ligi Kuu Tanzania Bara wakati huu ambao imebakiza raundi mbili kumalizika. Mabingwa mara mbili wa zamani wa