Timu ya Azam FC, imeibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya JKT Tanzania katika mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa kwenye Uwanja wa Meja
Category: Michezo

HAIJAISHA hadi iishe, hivi ndio unaweza kusema baada ya kocha wa Yanga kutangaza vita kwenye mechi tatu zilizobaki ikiwemo ya kesho dhidi ya Dodoma Jiji

NYOTA wa Tanzania, Clara Luvanga anayekipiga katika klabu ya wanawake ya Al Nassr nchini Saudia alipachika picha akiwa pamoja na Staa wa timu hiyo, Cristiano

Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Yanga SC, Ally Kamwe akitoa semina kwa Viongozi wa Klabu ya Pamba Jiji kutoka Mwanza, jinsi mfumo wa

KATIKA dhana ya kuwezesha jamii, Kampuni ya Mwananchi Communications (MCL) kwa kushirikiana na Ligi Kuu Hispania (La Liga) wamechangia vifaa vya michezo katika Wilaya ya

JKU ubingwa inautaka. Vinara wa Ligi Kuu Zanzibar (ZPL), JKU imezidi kujiweka pazuri katika kampeni za kubeba ubingwa wa ligi hiyo kwa msimu huu, baada

Dodoma. Serikali imesema ujenzi wa viwanja vipya vya michezo kwa ajili ya Michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON 2027), unatarajiwa kukamilika mwakani ili

LEO Jumatano katika Uwanja wa Ally Hassan Mwinyi, Tabora kutapigwa mechi ya kibabe kati ya wenyeji Tabora United na Ihefu ambayo imebeba matumaini makubwa ya

KWA mashabiki wa Dodoma Jiji wanajiuliza kwanini timu hiyo kwanini haijafunga bao katika mechi nne mfululizo za Ligi Kuu Bara zilizopita wakati kesho itakapoikaribisha Yanga

HAUWEZI kuona sana kwa macho, lakini Henock Inonga Baka anavuruga vichwa vya watu wa Simba. Kuna simulizi nyingi nyuma ya pazia, lakini ukweli ni kwamba