JKU ubingwa inautaka. Vinara wa Ligi Kuu Zanzibar (ZPL), JKU imezidi kujiweka pazuri katika kampeni za kubeba ubingwa wa ligi hiyo kwa msimu huu, baada
Category: Michezo

Dodoma. Serikali imesema ujenzi wa viwanja vipya vya michezo kwa ajili ya Michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON 2027), unatarajiwa kukamilika mwakani ili

LEO Jumatano katika Uwanja wa Ally Hassan Mwinyi, Tabora kutapigwa mechi ya kibabe kati ya wenyeji Tabora United na Ihefu ambayo imebeba matumaini makubwa ya

KWA mashabiki wa Dodoma Jiji wanajiuliza kwanini timu hiyo kwanini haijafunga bao katika mechi nne mfululizo za Ligi Kuu Bara zilizopita wakati kesho itakapoikaribisha Yanga

HAUWEZI kuona sana kwa macho, lakini Henock Inonga Baka anavuruga vichwa vya watu wa Simba. Kuna simulizi nyingi nyuma ya pazia, lakini ukweli ni kwamba

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) liko mbioni kubatilisha uamuzi wa fainali ya Kombe la Shirikisho (FA) kuchezwa katika Uwanja wa Tanzanite uliopo Babati,

MASHABIKI wa Yanga kwa sasa wana raha mara mbilimbili, mojawapo ikiwa ni kutokana na kufanya vizuri kwa timu yao na pili mchakato wa kuboresha kikosi

WAKATI Yanga ikisubiri kujua hatIma ya sakata la kimkataba la mshambuliaji wa Azam FC, Prince Dube Inayempigia hesabu za kumchukua mwisho wa msimu huu, mabosi

BONDIA wa uzito wa juu raia wa Ukraine, Usyk Oleksandr ameandika historia ya kuwa mwanamasumbwi wa kwanza ndani ya karne ya 21 kupata hadhi ya

KIPA wa Tabora United, John Noble amesema Yanga ilistahili kunyakua ubingwa wa Ligi Kuu Bara msimu huu, akitaja sababu ni ubora na ilikuwa na kikosi