BEKI mpya wa Namungo, Mrundi Derrick Mukombozi amesema amejisikia fahari kucheza tena mchezo wake wa kwanza wa Ligi Kuu Bara juzi dhidi ya JKT Tanzania,
Category: Michezo
MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Tanzania anayekipiga Al Talaba ya Iraq, Simon Msuva amesema bado hajaingiziwa pesa zozote kutoka Wydad AC anazowadai. Msuva aliishtaki Wydad Shirikisho
KABLA ya kuondoka Yanga, kocha Miguel Gamondi alileta straika mpya na kujifua na kikosi cha timu hiyo kambini, Avic Town, akisubiri kusaini mkataba wakati huu
SIMBA jana jioni imepata ushindi wa mabao 5-2 ugenini dhidi ya Kagera Sugar, huku Ellie Mpanzu akianza kwa mara ya kwanza, lakini mashabiki wa timu
BAADA ya kuwa katika Tano Bora ya timu zilizoruhusu mabao machache duru la kwanza JKT Tanzania inaendelea kujiimarisha eneo la ulinzi imetuma ofa Coastal Union
WANASIMBA walikuwa wakisubiri kwa hamu kubwa kumshuhudia nyota mpya, Elie Mpanzu ambaye jioni ya leo alitumia dakika 57 pekee kuonyesha umwamba wakati Simba ikishinda mabao
CHANGAMOTO ya ufungaji Pamba Jiji huenda sasa ikapata mwarobaini baada ya kocha mkuu wa timu hiyo, Fred Felix ‘Minziro’ kuahidi ujio wa baadhi ya nyota
KIUNGO Mtanzania, Yunus Abdulkarim, anayecheza soka la kulipwa Msumbiji akiwa na timu ya Nacala, ameelezea uzoefu alioupata msimu uliopita, alipocheza kwa mara ya kwanza Ligi
Klabu za Simba na Yanga kwa pamoja zimeshawishi wajumbe wa mkutano mkuu wa TFF, kuamua Wallace Karia aendelee kuwa rais wa shirikisho hilo kwa awamu
Mbozi. Watu wanane wamejeruhiwa katika ajali ya moto uliotokea katika duka la kuhifadhia na kuuzia vinywaji vya jumla na rejareja, baada ya duka hilo kuwaka