Ken Gold imesema itakuwa makini kufuatilia mechi zilizobaki za Ligi Kuu Bara na Kombe la Shirikisho (FA) ili kupata wachezaji watakaojumuishwa katika kikosi cha timu
Category: Michezo

Jina la Frank Komba sio geni na linafahamika sana na wadau wa mpira wa miguu kutokana na kile ambacho amekuwa akiufanyia mchezo huo. Huyu ni

Klabu ya Azam FC imethibitisha kuwa itawakosa nyota wa kiungo mkabaji, Sospeter Bajana na beki wa kati, Malickou Ndoye kwa miezi minne baada ya kufanyiwa

WINGA wa TP Mazembe, Philip Kinzumbi amezungumzia taarifa za kutakiwa na Yanga akisema kwa mzuka uliopo ndani ya timu hiyo ni vigumu kukataa ofa yao.

NYOTA wa Yanga, Djigui Diarra amempongeza kipa mwenzake wa Coastal Union Mkongomani Ley Matampi kutokana na ushindani anaompa katika Ligi Kuu Bara. Kauli ya Diarra

SAA 24 tu, tangu maafande wa KVZ walipoifumua Maendeleo 7-3 katika mechi ya Ligi Kuu ya Zanzibar (ZPL), vinara wa ligi hiyo, JKU imejibu mpigo

KESHO mchezo wa nusu fainali ya kwanza Kombe la Shirikisho utachezwa katika Uwanja wa CCM Kirumba, jijini Mwanza kati ya Coastal Union dhidi ya Azam

HENOCK Inonga ameomba udhuru aende Ufaransa kupumzika, lakini kuna machale yanawacheza viongozi wa Simba juu ya uamuzi wa beki huyo kufosi kuondoka hasa wakikumbuka awali

“..USHAHIDI upi mwingine unahitaji?” Hakusema mdomoni. Moyo wake ulikuwa unaongea. Asingeweza kutamka hivyo mdomoni wakati akirekodi video yake ya kuaga. Kylian Mbappe. Amewaaga PSG mapema

NGULI wa zamani wa Taifa Stars, Jella Mtagwa alifariki dunia juzi jijini Dar es Salaam baada ya kuteseka kitandani kwa miaka 20. Tunarudia sehemu ya