BAADA ya kutoka sare ya bila kufungana na Coastal Union, haraka nikakimbilia msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara ili nione Geita Gold iko nafasi ya
Category: Michezo

UONGOZI wa Azam FC, umemuongeza mkataba beki wa kulia, Nathaniel Chilambo ambaye ataendelea kubaki katika viunga vya Azam Complex hadi 2026. Chilambo alijiunga na Azam

Na Winfrida Mtoi, Mtanzania Digital Msimu wa pili wa tuzo za wanamichezo bora za Baraza la Michezo la Taifa (BMT) kwa mwaka 2023 , unatarajia

KOCHA wa zamani wa Yanga, Nasreddine Nabi ametoa tahadhari kwa timu zingine Ligi Kuu Bara kutokana na moto ilionao Yanga akisema kama hazitakaza, basi ubingwa

WIZARA ya Utamaduni, Sanaa na Michezo kupitia Baraza la Michezo la Taifa (BMT), limeandaa tuzo za wanamichezo bora mwaka 2023 zinazotarajiwa kufanyika Juni 9, 2024

LIGI Kuu Bara inakwenda ukingoni huku ikibaki kati ya michezo mitatu hadi minne kwa baadhi ya timu ili kumaliza msimu huu, lakini mbali na bingwa

HAKUNA ubishi juu ya kiwango bora kilichoonyeshwa na Yanga msimu huu na kufanikiwa kutetea ubingwa wa Ligi Kuu ambao umechagizwa na wachezaji mbalimbali katika kikosi

KOCHA Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi amesema walistahili kutwaa taji la Ligi Kuu, huku akisisitiza kwamba kituo kinachofuata ni Kombe la Shirikisho la Azam (ASFC). Yanga

KILICHOBAKI kwa Yanga ni sherehe tu za ubingwa wa Ligi Kuu Bara ambao imeutwaa Mei 13 baada ya kuifunga Mtibwa Sugar mabao 3-1, huku pia

ACHANA na Simba kukosa ubingwa kwa mara ya tatu mfululizo kuanzia msimu wa 2021/22, 2022/23 na msimu huu, lakini wana Msimbazi wamepitia nyakati ngumu zaidi