ACHANA na Simba kukosa ubingwa kwa mara ya tatu mfululizo kuanzia msimu wa 2021/22, 2022/23 na msimu huu, lakini wana Msimbazi wamepitia nyakati ngumu zaidi
Category: Michezo

DODOMA Jiji FC, imetoka suluhu na Namungo FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC uliochezwa Uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma. Mchezo huo ulizikutanisha timu

MAAFANDE wa KVZ na KMKM zimeaga michuano ya Kombe la Shirikisho Zanzibar (FA) baada kushindwa kufurukuta katika mechi za robo fainali ya michuano hiyo. KVZ

BAADA ya Yanga kutwaa taji la 30 la Ligi Kuu Bara, vita imebaki kwa mshindi wa pili kati ya Simba na Azam, lakini wakati hilo

KOCHA wa Yanga, Miguel Gamondi amecharuka na kupiga marufuku shamshamra za ubingwa huku akitoa masharti mapya ya kufuatwa ili kufikia malengo ya klabu. Gamondi amewasisitiza

WAKATI Ihefu ikishusha presha katika vita ya kushuka daraja, Kocha Mkuu wa timu hiyo, Mecky Maxime ameelezea siri ya kiwango cha nyota wake Marouf Tchakei

KICHAPO cha bao 1-0 walichopata Tanzania Prisons juzi dhidi ya Ihefu, kimemuamsha Kocha Mkuu wa timu hiyo, Ahmad Ally akitaja sababu tatu zilizowanyima ushindi kwenye

UBORA aliouonyesha kipa wa Simba, Ayoub Lakred kwenye mechi alizocheza tangu atue umewakuna vigogo wa timu hiyo ambao wamepanga kumpa mkataba mpya utakaomfanya abaki kwa

YANGA imejihakikishia ubingwa jana baada ya kuichapa Mtibwa Sugar na kujikusanyia taji la 30 kihistoria la Ligi Kuu Bara lakini msimu huu ikiwa na rekodi

NILILIONA pengo la Prince Dube katika pambano la Azam dhidi ya Simba kwenye Uwanja wa Mkapa jijini Dar es salaam Alhamisi jioni halafu baadaye ikawa