YANGA imejihakikishia ubingwa jana baada ya kuichapa Mtibwa Sugar na kujikusanyia taji la 30 kihistoria la Ligi Kuu Bara lakini msimu huu ikiwa na rekodi
Category: Michezo

NILILIONA pengo la Prince Dube katika pambano la Azam dhidi ya Simba kwenye Uwanja wa Mkapa jijini Dar es salaam Alhamisi jioni halafu baadaye ikawa

WAKATI Mfungaji Bora wa michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika msimu uliopita, Fiston Mayele akikwama kufika japo robo fainali ya Ligi ya Mabingwa msimu huu,

NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV KLABU ya Yanga imefanikiwa kutetea ubingwa wake wa Ligi Kuu Tanzania bara maalufu NBC Premier league mara baada ya kujikusanyia

Kocha wa Yanga, Miguel Gamondi amepishana na adhabu ya kifungo baada ya kupigwa faini ya Sh2 milioni kwa kosa la kufanya vurugu ikiwemo kuwashambulia kwa

Bao la kichwa la dakika ya 50 lililofungwa na kiungo mshambuliaji Marouf Tchakei limetosha kuihakikishia Ihefu SC ushindi muhimu ugenini dhidi ya Tanzania Prisons kwenye

WAKATI Simba ikikosa ubingwa wa Ligi Kuu Bara kwa msimu wa tatu mfululizo, mshambuliaji wa zamani wa Simba, Athuman Machupa ameitaka usajili ujao kuongeza nguvu

AZAM FC imedhamiria kwa dhati kumrudisha aliyekuwa kipa namba moja wa kikosi hicho, Aishi Manula baada tu ya msimu huu kuisha. Taarifa kutoka ndani ya

SASA ni rasmi kwamba Yanga ni bingwa mpya wa Ligi Kuu Bara baada ya jana kuwachapa Mtibwa mabao 3-1 kwenye Uwanja wa Manungu Turiani Mkoani

Si unafahamu Yanga SC inahitaji pointi nne pekee ili kutetea ubingwa wa Ligi Kuu Bara msimu huu? Sasa basi vigogo wa timu hiyo wametumia akili