KIUNGO wa KenGold, Abdallah Masoud ‘Cabaye’, ameelezea kuwa wakati umefika kwa wachezaji wa timu hiyo kujitathmini na kubadilisha mwenendo mbaya katika Ligi Kuu Bara, ambayo
Category: Michezo
SIMBA ipo uwanjani jioni ya leo mjini Bukoba kuvaana na Kagera Sugar katika mfululizo wa mechi za Ligi Kuu Bara, huku rekodi zikionyesha timu hiyo
Aliyekuwa Mtendaji Mkuu wa Simba, Francois Regis, ameteuliwa kuwa katibu mkuu wa wizara ya michezo Rwanda. Regis ambaye alidumu Simba katika muda usiozidi miezi miwili,
WAKATI Yanga ikiwa na mpango wa kumsajili beki wa kati kutoka Zanzibar, ghafla mabosi wa AS Vita Club ya DR Congo wameibuka na mkakati wa
KIKOSI cha Simba kipo mjini Bukoba, mkoani Kagera kumalizana na wenyeji wao, Kagera Sugar katika mechi ya Ligi Kuu Bara, lakini unaambiwa mabosi wa klabu
WAKATI KMC ikiwa kwenye mpango wa kumsajili beki wa kushoto, Deusdedity Okoyo tangu mchezaji huyo aanze kufanya mazoezi na timu hiyo ni takribani siku 10
MSHAMBULIAJI Prince Dube ameshaliamsha balaa baada ya kutupia kwa kasi tena akianza na hat trick kwenye ligi, hatua ambayo imekuwa faraja pia kwa mastaa wenzake
PAMBA Jiji imepania hasa katika dirisha dogo la usajili, ikielezwa imemalizana na klabu ya Naspa Stars ya Zambia, Rally Bwalya, huku ikiwa hatua ya mwisho
KIUNGO mkongwe Yannick Bangala amevunja mkataba na klabu ya Azam baada ya kupishana na kocha wake Rached Taoussi. Bangala ambaye aliichezea Yanga misimu miwili kabla
UONGOZI wa Kagera Sugar umeziandikia barua Simba na Yanga kuwaomba wachezaji wao Ladack Chasambi, Salehe Karabaka na Denis Nkane kwa mkopo. Chasambi na Karabaka wote