FURAHA ya mashabiki wa Simba imerudi upya ndani ya kikosi hicho tangu alipokabidhiwa timu hiyo Kocha Mkuu, Juma Mgunda akichukua nafasi ya Mualgeria, Abdelhak Benchikha
Category: Michezo

SIMBA inahaha kumbakisha kipa wake namba moja, Ayoub Lakred ambaye anatingisha anataka kuondoka na kurejea Morocco lakini kukabiliana na presha hiyo, Wekundu hao wameanza mazungumzo

ALHAMISI nilikwenda uwanjani kutazama mechi ya Simba na Azam. Simba na Azam? hapana. Ni Azam na Simba. Azam walikuwa nyumbani siku hiyo. Siku hizi mechi

LICHA ya Mbeya kuendelea kuandika historia kwa kupandisha timu Ligi Kuu Bara miaka ya karibuni, sintofahamu imebaki jinsi Uwanja wa Sokoine uliopo mjini humo unavyokimbiwa.

UNAPOLITAJA jina la Twaha Kiduku, basi huwezi kuacha kumtaja kocha wake, Chanzi Mbwana Chanzi maarufu kama Power Iranda kwa kuwa ndiye aliye nyuma ya mafanikio

Morogoro. Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Adam Malima amewataka waandishi wa habari kufanya utafiti wa kina wenye lengo la kuibua vivutio vipya ya utalii, ikiwa

WAKATI Yanga ikiwa katika hatua za mwisho za kukamilisha mazungumzo kwa ajili ya kumsajili beki wa FC Lupopo, Chadrack Boka anayetakiwa kuja kuziba nafasi ya

TIMU ya Wydad Casablanca imeonyesha nia ya kumsajili kipa wa Simba, Ayoub Lakred kwa ajili ya msimu ujao. Taarifa kutoka ndani ya timu hiyo zimeliambia

KOCHA Mkuu wa Coastal Union, David Ouma amefanikiwa zaidi kutengeneza timu kimbinu na kiufundi, akijitahidi kumfanya kila mchezaji kuwa bora katika nafasi yake. Kocha huyo

MATARAJIO ya Azam FC kwa sasa ni kukusanya pointi 12 katika mechi nne zilizosalia za Ligi Kuu Bara huku ikiiombea Simba iteleze kidogo tu ili