NDANI ya Ligi Kuu Bara achana na nani anataka kuwa bingwa, kuna vita fulani zinachukua nafasi taratibu nje na kuwania taji la ubingwa. Zitazame vita
Category: Michezo

Kikosi cha Timu ya Tabora United kesho kitashuka katika Uwanjawa wa Ali Hassan Mwinyi kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu ya NBC soka Tanzania

MASHABIKI wameshaanza kushona jezi za Ubingwa wa Yanga msimu huu, lakini Kocha Miguel Gamondi ameshtukia mechi mbili zinazofuata zina mtego mkubwa kwao na akawaweka chini

KIUNGO mshambuliaji wa Asec Mimosas, Serge Pokou ameomba rasmi kuondoka klabuni hapo huku akihusishwa na Simba inayoelezwa inampigia hesabu kali. Fundi huyo wa mguu wa

UWANJA wa kikapu wa DB Osterbay unatarajiwa kuwaka moto wakati timu kongwe za kikapu nchini, JKT na Vijana (City Bulls) zitakapochuana kesho katika mchezo wa

YUKO wapi yule aliyesema hisani inaanzia nyumbani? Wazungu huwa wanaandika kwa Kiingereza chao kizuri ‘charity begins at home’. Ni kweli. Lakini Wabrazil nao wangeweza kuendeleza

FURAHA imerejea Simba. Mabadiliko yaliyofanywa kwenye benchi la ufundi na kumrejesha Juma Mgunda yameanza kulipa. Ametumia mechi nne tu kubadilisha mambo ndani ya klabu na

Mwanza. BAADA ya ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Stand United, Copco imesema inaenda kumaliza dakika 90 za marudiano ikihitaji sare au ushindi ili kujihakikishia kubaki

KUNA siri kubwa nyuma ya mabao anayofunga kiungo wa Yanga, Mudathir Yahya ambayo itawafunza wachezaji wengine kuzingatia baadhi ya mambo wanayoambiwa na makocha. Mwanaspoti limebaini

BEKI anayetajwa kusajiliwa Yanga, Chadrack Boka kutoka FC Lupopo ya DR Congo, inaelezwa anapokuwa uwanjani ni mmyumbulikaji katika kufanya majukumu zaidi ya nafasi yake na