KIKOSI cha Pamba Jiji kilivunja kambi yake juzi (jumatano) wachezaji na benchi la ufundi wakipewa mapumziko na kuruhusiwa kuondoka, huku hatima ya kinachofuata ikiachiwa bodi
Category: Michezo

KLABU za michezo ni taasisi kama taasisi nyingine zenye malengo ya kufikia na wadau wa kutumikia. Zinaweza kuwa taasisi za hiari au za kibiashara kutegemea

KAMA ilivyo kwa Mabingwa Ligi Kuu Bara, Yanga wamekuwa na bahati kwenye Uwanja wa Azam Complex, Chamazi ndivyo ilivyo kwa Simba Queens na mechi nane

JUZI pale Uwanja wa Azam Complex, Chamazi ilikuwa imebaki kidogo watu waone Kocha wa Yanga, Miguel Gamondi akimchapa vibao refa Abdallah Mwinyimkuu. Ilikuwa ni baada

MWAKA 2020, Coastal Union ilipata fedha nyingi kupitia mauzo ya beki Bakari Mwamnyeto ambayo inakadiriwa kufikia takribani Sh 150 milioni. Coastal ilivuna fedha hizo nyingi

WEKUNDU wa Msimbazi, Simba SC wameendeleza moto wao wakiwa chini ya Kaimu Kocha Mkuu, Juma Mgunda kufuatia kuibuka na ushindi wa tatu mfululizo katika mchezo

Kocha Mkuu wa Al Hilal ya Sudan, Florent Ibenge amesema itakuwa ni heshima kwake endapo atapata nafasi ya kuinoa timu mojawapo za Ligi Kuu Tanzania

MOJA ya eneo ambalo Yanga itaingiza ingizo jipya msimu ujao ni katika nafasi ya kipa na hesabu zao zimeenda kwa kipa namba moja wa timu

MSIMU huu wa 2023/24, hakuna mbabe kati ya Ihefu SC na JKT Tanzania baada ya timu hizo kushindwa kufungana katika mchezo wa Ligi Kuu Bara

HAIJAISHA hadi iishe ndiyo kauli wanayoishi nayo timu ya Mtibwa Sugar huku matumaini yao makubwa yakiwa ni kwamba msimu ujao wataendelea tena kukiwasha Ligi Kuu