NI kama gari limewaka kwa mshambuliaji wa Yanga, Joseph Guede ambaye hivi sasa namba zake zinambeba na kumfanya kuwa mchezaji hatari katika kikosi hicho, lakini
Category: Michezo

WAKATI Yanga ikiwa kwenye mchakato wa kusaka mbadala wa Joyce Lomalisa ambaye anatajwa kuachwa mwisho wa msimu huu, imebainika kuwa mshambuliaji Keneddy Musonda pia anampisha

AZAM FC hawatanii buana! hivyo ndio unaweza kusema baada ya uongozi wa timu hiyo kuamua kutoa motosha wa mastaa wao kupambana kumaliza nafasi ya pili

Kikosi cha Timu ya Tabora United kesho kitashuka katika Uwanja wa Manungu Turiani mkoani Morogoro kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Soka

Huenda Kibu Dennis ndiye mchezaji Bora msimu huu mzawa wa Simba na ambaye akikosekana, watu wanashika kichwa. Kibu ni aina ya wachezaji ambao kumwelekezea mtu,

Refa Beida Dahane ameteuliwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika kusimamia teknolojia ya video ya usaidizi kwa marefa (VAR) katika mechi ya kwanza ya

JINA la kocha wa Al Hilal, Florent Ibenge (62) linatajwa kupewa kipaumbele cha kwanza na mabosi wa Simba kumrithi Abdelhak Benchikha aliyeondoka mwishoni mwa mwezi

ATALANTA, MAREKANI: Wote tushasikia msemo wa kwamba “Kila kwenye mwanaume mwenye mafanikio, nyuma yake kuna mwanamke.” Msemo huo unaweza kusiikia kwenye mambo ya kisiasa na

WAKATI Yanga ikibakiza hatua chache kumalizana na beki wa kushoto wa FC Lupopo, Chadrack Boka, Raul Shungu amewaambia ; “Ni bonge ya beki.” Kocha huyo

KAMA kuna wachezaji waliokuwa wanaangaliwa sana uwanjani kama watatoka bila ya kadi, mmoja wao ni Haruna Moshi ‘Boban’, kiungo wa zamani wa Simba, Yanga na