Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza Mapinduzi Dk, Hussein Ali Mwinyi amelihakikishia Shirikisho la Soka Barani Afrika ‘Caf’ kuwa Zanzibar ipo tayari na inajiandaa
Category: Michezo
*Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati* Wawekezaji kutoka ndani na nje ya nchi wamekaribishwa kuwekeza mkoani Kagera kufuatia hatua mbalimbali za
KILICHOTOKEA katika siku hizi za karibuni kinaweza kusaidia kwa kiasi kikubwa kubadilisha mitazamo na fikra za wachezaji wetu. Na hivi ndivyo hapa kijiweni tunapenda kuona
KICHAPO cha mabao 2-0, ilichokipata KenGold juzi dhidi ya Simba katika mchezo wa Ligi Kuu Bara kimezidi kuwaamsha mabosi wa timu hiyo, ambayo kwa sasa
Kagera Sugar ipo katika hatua za mwisho kumchukua mshambuliaji wa Azam FC, Adam Adam kwa mkopo. Kagera kwa sasa ipo katika mikakati ya kuongezea nguvu
YANGA jana ilikuwa uwanjani kumalizana na Mashujaa ya Kigoma katika Ligi Kuu Bara, lakini kuna jambo moja limefanyika kimya kimya ambalo kama taarifa hii itawafikia
KAMA kuna mchezaji ndani ya Simba anaamini ana namba ya kudumu katika kikosi cha kwanza basi pole yake, kwani kocha mkuu wa timu hiyo, Fadlu
GARI limewaka. Ndivyo unavyoweza kusema baada ya Prince Dube kufunga hat trick katika mchezo wa Ligi Kuu Bara, ikiwa ni siku chache tangu aipate ‘code’
Dodoma. Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma itafanya upekuzi wa afya ya akili (psychonomic test) kwa waajiriwa wapya, lengo likiwa ni
MSHAMBULIAJI wa Pamba Jiji, George Mpole amesema mchezaji akiwa katika fomu ni rahisi kupata marupurupu kutoka kwa mashabiki wanaopenda soka, ambao wakifurahisha siyo wachoyo wa