MWANDISHI WETUBODI ya Ligi Tanzania (TPLB) imesema imechukua tahadhari muhimu juu ya tishio la kimbunga kinachoendelea kinachojulikana kwa jina la Hidaya. Ofisa Habari wa TPLB,
Category: Michezo

Kipa wa Yanga Djigui Diarra amepata mshindani wa maana kwenye vita ya ‘cleansheet’ kwenye ligi ambaye ni kipa wa Coastal Union, Ley Matampi, ambaye ni

YUKO wapi Kibu Denis? Hilo ndilo swali ambalo mashabiki wa Simba wanajiuliza baada ya kuuwekwa wazi kikosi chao ambacho kitacheza mchezo wa Ligi Kuu Bara

KESHO Singida Fountain Gate itaialika Dodoma Jiji katika mchezo wa Ligi Kuu Bara kwenye Uwanja wa CCM Kirumba, jijini hapa kuanzia saa 10:00 jioni, huku

BAADA ya kuondoka kwa Abdelhak Benchikha, timu ya Simba fasta imeanza mchakato wa kutafuta kocha mpya atakayerithi mikoba ya Mualgeria huyo ikipanga kukamilisha ishu hiyo

UONGOZI wa Klabu ya Yanga umethibitisha kupokea ofa kutoka katika timu za Ulaya ambazo zinataka kumnunua mshambuliaji Clement Mzize. Ingawa hakuwa tayari kuzitaja timu ambazo

Simiyu. Mbunge wa Jimbo la Kisesa (CCM), Luhaga Mpina amewajibu wanasiasa wanaosema hakuna maendeleo aliyofanya katika jimbo lake badala yake amesema yeye hakutumwa bungeni “kucheza

MABAO manane yametosha kubadili sehemu ya usajili wa Yanga baada ya mabosi wa timu hiyo kushtuka kwamba mshambuliaji Joseph Guede ana kitu miguuni na kichwani,

WAKATI Mashujaa FC ikibakiza mechi sita kujua hatima yake Ligi Kuu Bara, uongozi wa timu hiyo umesema utaongeza dau kwa wachezaji ili kuhakikisha kuanzia mechi

SIMBA msimu huu imekuwa na kiwango ambacho hakiwafurahishi mashabiki wake lakini kuna wachezaji ambao wamekuwa vipenzi vya mashabiki na wanaamini kama wataendelea kuwepo, miamba hiyo