AL Ahly ya Misri itabeba tena? Hilo ndilo swali lililopo vichwani mwa mashabiki na wapenzi wa soka Afrika kwa sasa, wakati wakisubiri mechi mbili za
Category: Michezo

Beki wa Yanga, Shomari Kibwana ni kati ya wachezaji ndani wa kikosi hicho ambao mikataba yao inaishia mwisho wa msimu huu (2023/244), lakini bado hajaanza

SIMBA bado kunafukuta. Timu hiyo inapitia kipindi kigumu cha mpito ambacho mambo mengi yametokea na yatatokea lakini wakijipanga vizuri yatapita na wakali hao wa Msimbazi

Arusha. Serikali imeonyesha kukerwa na utitiri wa vyama vya kitaaluma vilivyopo nchini kwa sasa na kuagiza uchunguzi wa kina. Agizo hilo limetolewa na Waziri wa

Mwanaspoti linajua kama mambo yataenda yalivyo, wakati wowote Simba inaweza kumpoteza kiungo wao mshambuliaji mpambanaji Kibu Denis Prosper. Ni kama yuko mlangoni kuingia kwa watani

Wanetu wa Pamba FC aka Wana Kawekamo au ukipenda unaweza kuwaita TP Lindanda baada ya msoto wa muda mrefu hatimaye wamefanikiwa kupanda Ligi Kuu Tanzania

Dar es Salaam. Serikali ya Tanzania imesema bado inaendelea na uchunguzi katika kesi ya kusafirisha nyara za Serikali ikiwemo mifupa 1,107 ya Simba zenye jumla

Kimahesabu ya kimpira, mbio za ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara zilikamilika siku ile ambayo Simba ilipoteza kwa mabao 2-1 mbele ya Yanga katika mechi

Beki wa kati wa Azam FC, Malickou Ndoye ameonyesha nia ya kuondoka ndani ya timu hiyo baada ya msimu huu kumalizika kutokana na kutokuwa na

Bondia wa ngumi za kulipwa nchini, Karim Mandonga ‘Mtu Kazi’, amefichua kuwa yeye ni shabiki mkubwa wa Yanga huku akibainisha kwamba, mchezaji ambaye huwa anapenda